Mazishi ya marehemu Yohana Mpinga aliyekufa Ndago - Singida yafanyika

Polisi kazi yao ni kuhusika kuzorotisha upinzani! Mawe yanarushwa wanaangalia tu!
 
kijana aliyekunywa pombe aina gongo na kufariki baada ya kulewa sana huko singida amezikwa mchana huu inasemekana aliyewanunulia ponbe hizo mwigulu nchemba nae alikuwepo kutoa pole kwa kuwalewesha watu hao
 
Hamjaridhika kudhulum uhai bado mnatukana maiti? Kwa hakika ninyi ni wakatili.
 
Polisi kazi yao ni kuhusika kuzorotisha upinzani! Mawe yanarushwa wanaangalia tu!
Mie nadhani Polisi wetu wamerogwa kabisa.Makamanda wa CDM ndio kila siku watetezi wao katika maslahi yao,makazi na maisha bora ya askari.Lakini waagizwa waruhusu watetezi wao wapigwe mawe na wao wanaitika sawa afande.Kama sio kulogwa basi kuna kasoro kubwa akilini.
Mwenye ule waraka uliompeleka Mwigimba mahakamani auweke hapa askari wausome tena
 
Msibani watu wanasema CDM waliendelea na mikutano bila kujali halafu wanakanusha kuwa hawakujua kama mtu alikufa kupitia vyombo vya habari.

Vijana wapatao 12 wanaodaiwa ni wafuasi wa CDM wamefikishwa mahakamani leo.
 
Waombolezaji wanasema waambie jamaa wa upande wa pili waje kuzika. Hawapo hapa hata mmoja
Kwani waombolezaji wamebeba vitambulisho mpaka wewe ujue kuwa jamaa wa upande wa pili hawapo? au ndio ushetani na ufitini wako ndio unaokusumbua kuja na lugha za kijinga hapa jamvini?
 
Wewe inaonyesha ni mtu wa ndani wa mipango tokea mwanzo hadi mwisho wa matukio....MWAMBIE Mwigulu aache siasa za kitoto, ona sasa ana damu kila kona ya mwili wake. THIS IS UNACCEPTABLE!

Mpigie simu umwambie au wamuogopa ? na jamaa ukimwambia unataka kuongea nae atakukubalia kwa wepesiiii, kubali tu acha woga kipi kigeni kwani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom