Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mwili unawasili nyumbani sasa unapokelewa na marubani wenzake Wanajeshi pia wapo
 
mnatuboa tu nyie.. Toka jmosi ni kumsifia tu huyo bilionea wenu.. Mwanaume mzima anashinda mtandaoni kazi kumwagia mtu misifa tu!!! Sambeke ndo mtoa uzima???? Kama kuna aliyenuna akajiue na yeye bas..
huu tunauita umaskini wa roho.NA NI BORA UMASKINI WA AKILI UNATIBIKA
 
mnatuboa tu nyie.. toka jmosi ni kumsifia tu huyo bilionea wenu.. mwanaume mzima anashinda mtandaoni kazi kumwagia mtu misifa tu!!! sambeke ndo mtoa uzima???? kama kuna aliyenuna akajiue na yeye bas..

Umetumwa kuingia kwenye hii sredi ? huo ni wivu wa kike na chuki binafsi.
 
Lol! Hata jeshi la wanainchi wapo?

Hivi ameshawaì kupitia jeshi huyu marehemu Babu Sambeke?

Magesi majibu tunategemea toka kwako!

Mwili unawasili nyumbani sasa unapokelewa na marubani wenzake Wanajeshi pia wapo
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mimi najua alikuwa ni mmiliki mwenza wa ASANTE TOURS yeye pamoja na Cuthbet Mbowe .pia alikuwa ndio mkopeshaji mkubwa wa hela ya riba hata kama ni bilion tano unapata. Vile vile alikuwa na mashamba makubwa ya ngano kule west kilmanjaro ambako ndiko alitokea kabla hajapata ajali.
cuthbet swai sio cuthbet mbowe huyo hana hata mia
 
Umeona enh....Sambeke Sambeke.Uyo jamaa alikua milionea buaner.sio Billionaire !! Alafu wekeni picha sio mnasema 2.
 
Bdo mwili upo kanisani huku nyumbani kuna skrini kubwa zimefungwa zinaonyesha matukio yote tokea aanze kurusha ndege
Mkuu Magesi endelea kutupia humu yanayotokea huko.Wengi tuko mbali na eneo la tukio,weka picha.
Wenye hela hapa bongo (DSM) wengi ni majizi ya fedha za umma(mafisadi) mf EPA,Meremeta,BOT deals nk.Wanaobeza utajiri wa Babu Sambeka wivu unawasumbua.
 
Hapo ndio ninapoona utukufu wa Mungu! Jiite uwezavyo, fanya ufisadi uwezavyo, fanya binadamu wenzako wakuabudu uwezavyo, fanya kila aina ya laana hapa duniani, lakini iko siku yote yatabaki historia! Tujiandae!..
 
Back
Top Bottom