MAZISHI YA Arusha KESHO

Taarifa za intelejensia zinaonyesha kutakuwa na machafuko kwenye tukio hilo tunawataka ccm washudhurie hapo hawatapona watazomewa sana!!!!!!
Hizo intelijinsia zimetangazwa na Saidi Mwema aka Baba Marry Chatanda au Jakaya Rostam Lowasa???????
 
Nafikiri CCM waje kwa wingi wao ili waone utamaduni wa demokrasia na utulivu wa kisiasa tulionao,waje waone tunavyowalilia mashujaa wetu na kufanya maazimio yetu,waje waone tunavyoweka jiwe la msingi kuanza kupambana nao kwa vitendo
 
Hivi hakuna chombo cha habari kilichojitolea kurusha live mazishi haya? ITV mko wapi au mnaogopa inteligencia? Lakini lazima mtambue kuwa sasa watasavaivu wale tu wanao side na nguvu ya umma na siyo serikali. Faida kutoka serikali ya jk inaendakufika kingoni punde ni heri ukachukuwa msimamao wa kujiunga na nguvu ya umma ili usalimike. Shame on you independent media ambao bado mnajificha kwa kuigopa serikali ya mafisadi na wachakachuaji.
Inasikitisha hata media ambazo zilikuwa zikiichallenge serikali kwa muda mrefu leo hii wanamng'unya maneno inapofika mahali pa kuikosoa serikali. Mmekuwa waoga kama mmbwa koko aliyeiba nyama jikoni kwa mkurya. Shame on clouds FM you lost your glory
 
Back
Top Bottom