Mazishi mengine bwana, khaa!

aaaaa haya ndo mazishi anayezikwa hapo cjui yy alikuwa anavaaje!!!!
kule Ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!
 
Daktari Bingwa wa Moyo, jeneza shape ya moyo, Je daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake jeneza litakuwa na shape gani? Mkuu Askari Kanzu.
 
Daktari Bingwa wa Moyo, jeneza shape ya moyo, Je daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake jeneza litakuwa na shape gani? Mkuu Askari Kanzu.
Jamaa itabidi wakuchongee tu. Cheki hili jeneza la mvuvi kwa mfano!
coffin_workshop_Ghana.JPG
 
Na mfikilia huyu wa kichupi akiingia ndani ya zile scuna zake alizoziweka mbele yake.lol!
 
Aiseee babaangu baba jei kei watamtengenezea jeneza la ndege,,kamanda kova watamtengenezea jeneza la bomu

ngoja nikapate mbege
 
kule ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!

nataka kujua km ulikuwa changudoa jeneza lako linakuwaje?
 
wale wa upande wa pili ndio wanaruhusu akina mama msibani !
Kweli,ila huyo mwenye kichupi cheusi namfahamu anaitwa Zubeda sasa sijui ni wa upande ule wapili?maana jina tuu linamtambulisha ni wa upande wetu bwana Ally Kombo
 
yaani huyo wa kichupi ameniacha hoi, sijui khanga imemdondoka na hana habari au kaamua kujiachia. dunia ina mambo
 
Hee, kwani nguo wameacha wapi, kwenye gari? Manake utoke Pugu unaenda kuzika kinondoni kwa hivyo walivyo?

Ni mazishi kweli haya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom