Ja-roche
New Member
- Jul 13, 2011
- 1
- 0
JAMWATANZANIA MIMI KAMA MDAU WA MAZINGIRAANI
Nasikitika sana na uchafuzi wa mazingira utokanao na Tiketi pindi mechi za viingilio zinapochezwa ktk Uwanja wa Taifa
hali hii sio nzuri hata kidogo naomba mamlaka husika zkuzingatia suala la utpaji holela wa tiketi hizo kwani huchafua mazi-
ngira yote yazungukayo Uwanja huo kama vile CHUO cha DUCE, HOTEL nk
TFF, MANISPAA, tujali mazingira
J-roche