Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingira, Mazingara?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Sadakta, Sep 10, 2009.

 1. S

  Sadakta Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.

  Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara. Kwa kawaida, wengi hutumia maneno yote mawili kumaanisha kile kinachotuzunguka. Lakini, nikitaka kumaanisha superstitions nitaonyesha vipi ikiwa neno ni hilo hilo moja. Muktadha ikiwa haipo itakuwaje?

  Mwisho, Dawa iko katika ngeli gani?

  Kwenu mliobobea.

  Sadakta
   
 2. BooSt3D

  BooSt3D JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Mazingara - Mi Nadhani Ni Mazingira ya Kutatanisha/Mazingaombwe, Sijui Kiswahili vizuri "yaani sio mtaalam" labda nimekosea.

  B.
   
 3. BooSt3D

  BooSt3D JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  I Believe ni SWADAKTA na sio SADAKTA!,

  B.
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,666
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 48
  LoL,

  Sadata ni jina lake mwanzisha topic na si kama kachanganya neno Swadakta.

  Invisible
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 33,082
  Likes Received: 4,526
  Trophy Points: 113
  Mazingira maana yake ni eneo lilizunguka au environment.wakati mazingara maana yake mazingaombwe
   
 6. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,532
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 48
  Mkuu The boss, You have said it all, do I need to say more? Hiyo ndio tofauti halisi ya maneno hayo mawili ingawaje wengi wana tabia ya kuyachang'anya na kuyatumia isivyo.

  Tiba
   
 7. BooSt3D

  BooSt3D JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ahaha, Dah!, Nimeona...Viini macho "Mazingaombwe" hivi.

  B.
   
 8. C

  Choveki JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 16
  Ni mazingara hayo!
   
Loading...
Similar Threads Forum Date
Ni kweli ni kuruka mdudu au ni mazingara? JF Chit-Chat Aug 29, 2015
Siku ya mazingira duniani Habari na Hoja mchanganyiko Jun 6, 2015
mazingira magumu Jamii Photos Jan 15, 2015
Mazingira Day Habari na Hoja mchanganyiko Jun 5, 2014
MAZINGARA Vs MAZINGIRA, SARE Vs SURUHU na PASWA vs PASHWA!!! Jukwaa la Lugha Mar 25, 2011

Share This Page