Mazingira magumu ya kufanya kazi

tutaweza

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
634
457
Tatizo la mazingira magumu linatatuliwa kwa kuondoa hayo mazingira magumu yenyewe na sio kwa posho.
Mazingira magumu tunayotakiwa kuyatolea posho ni yale yanayotokana na nature ya kazi zenyewe na sio mazingira kwa nadharia ya eneo unalofanyia kazi.
Mfano, serikali inatakiwa ijenge miundo mbinu ya uhakika (barabara, umeme, maji) huko vijijini na upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii usionekane kama ni anasa.
Sasa naishangaa serikali inaposema ipo kwenye mchakato wa kulifanyia kazi suala la mazingira magumu na nilipomsikiliza waziri Hawa Ghasia leo asubuhi (TBC) alikuwa anataja majina ya vijiji.
Basi kama ni hivyo hata wananchi wanaoishi kwenye mazingira magumu inabidi nao walipwe posho
 
Back
Top Bottom