Mazingira Day

Mulama

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
3,018
1,791
Wakati taifa linaadhimisha siku ya Mazingira Duniani hii ndio hali halisi ya jiji letu la Dar, japo wakubwa wako Mwanza kula kuku kwa tiketi ya Mazingira hayahaya!
 
Attachments

  • mazingira.jpg
    mazingira.jpg
    34.7 KB · Views: 73
  • Mazinigira day.jpg
    Mazinigira day.jpg
    9.1 KB · Views: 155
  • Mazingira yetu.jpg
    Mazingira yetu.jpg
    9.7 KB · Views: 154
Wakati taifa linaadhimisha siku ya Mazingira Duniani hii ndio hali halisi ya jiji letu la Dar, japo wakubwa wako Mwanza kula kuku kwa tiketi ya Mazingira hayahaya!

Tatizo sio wakubwa kama unavyojiaminisha tatizo ni wananchi wa Dar es salaam ni WACHAFU na hawana tabia ya kufanya usafi mnachowaza ni kutafuta fedha na wengine wanawaza kucheza ngoma tu, Mbona Moshi hakuna vitu kama hivyo ulivyovionyesha hapo jitafakari kwa makini tatizo ni nyinyi mlioko huko ni WACHAFU.
 
Back
Top Bottom