mazengo boys mpoo?

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
habari zenu?
poleni na majukumu.
najaribu kukumbuka shule tulizopitia katika mfumo huu wa kitanzania wa kufuta ujinga.sasa km na ww ulipitia hilo chama hebu tukumbushane mazuri na mabaya ya iliyokuwa Mazengo Sec School.
Cheers na karibu
 
Duh,umenikumbusha UJAMAA DOM Pale 2nd floor vjana walikuwa wanapaita soweto
 
mi nilikuwa AZIMIO.kulikuwa na ticha mmoja anaitwa unyama unyama.akina mwalimu kameme na wengineo cjui wako wapi.vipi cku ya wali pale mesi ?
 
Namkumbuka headmaster Msasa na pikipiki yake dah alikuwa anabeba bakora kwa nyuma...dah
Nawamiss Zengo boyz
 
Yunus, mzee wa 'the himalayas','the hullabaloos'. Smart man Malima, Mzungu Peter na radio yake ya kuamshia mabwenini,akina Beda, mzee Muna etc. Naamini enzi za Mzee Mkoba ndio the best baada ya kutaifishwa shule toka Alliance School.
 
Hata baada ya Mkoba bado palikuwa poa sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom