MAZDA Rx-8

Sir_Finus

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
330
139
Mwenye uelewa na gari hii ningependa anipe maelezo kidgo coz gari hii ni nzuri sana japo Tanzania ni machache sana ukizingatia lina bei nafuu kwa kuagiza.

Inatumia ROTAR engine ambazo sijajua upatikanaji wake wa spare.
Mazda Rx 8.jpg
 
Mwenye uelewa na gari hii ningependa anipe maelezo kidgo coz gari hii ni nzuri sana japo Tanzania ni machache sana ukizingatia lina bei nafuu kwa kuagiza..
inatumia ROTAR engine ambazo sijajua upatikanaji wake wa spare...
Duu kitu cha ukweli hebu weka gharama zake kwanza
 
Kwa kuagiza kupitia kampuni ya befoward ni $1600-2200 ambazo ni ukija kulipa gharama na tozo za bandar na tra kuregister ni tsh 6m-7.2m thn ukijumlisha na hyo ya kuagiza unapata around 11.5-13.5m tshs

Ina cc za kawaida na kunywa mafuta kwa wastani japo review zinaonyesha inatumia vilainishi sana (oil)...
Hyo ni review ya nje

Nilipenda kujua review ya wataalamu wa nchini ambao wapo aware na engine hii na aina hii ya gari ukizingatia muonekano wake ni bab kubwa

Angalia nyimbo ya my life ya dogo janja ipo hii gar
 
Nyie ioneni nzuri hivo hivo ila mziki wake wake sio wa kitoto, nilishawah kupost khs hii gari, ngoja nii re-post hapo chini tena.

Asee nilinunua Mazda rx 8 ya 2005, ilikua inatumia rotary engine, manual, ni cc 1300 only lkn inatoa zaid ya horse power 200 na zaid. Tatizo kubwa la rotary engine ni "FLOODING" hapo ndo kwenye shida Sana. So kwenye rotary engine haitakiwi gari asubuh kuiwasha na kuondoka hapohapo unaiacha kwanza inachemka then ndo unaondoka na ukija kuipaki usiizime pia hapohapo. Na ili idumu atleast kila siku lazima uhakikashe gari inakimbizwa mpk mshale ufike kwenye redline, kwangu ilikua ni rpm 9000 ukifanya hivyo inadumu. Lkn since pia Rotary engine haitumii piston inakula engine oil saana saaana lkn ni engine yake ina nguvu Sana. Kwa wale wanaodhani eti ukubwa wa engine unachangia ulaji wa mafuta mnajidanganya hii Mazda rx 8 ilikua ni cc 1300 lkn lita 1 km8 highway na lita 1 km 6 kwenye foleni sababu ni sports car. Imagine cc 1300 lkn subaru forester, alteza sijui vi sport car zilikua hazikatizi mbele ya gari yangu. Ooh I will miss my Mazda
 
Lita 1 km 6 duh hiyo si kama gari yenye engine ya cc 2300...

Then kwa nini now hauna hilo gar?
Lilizingua au ilikuwaje?
Vp kuhusu spare zake bongo?
 
Mkuu usiangalie cc ukajua ndio uraji wa mafuta hiyo gari inabugia.mm nakwambia coz nishawahi itumia kwenye upande wa mafuta iko juu sana.then unapoagiza angalia sana coz tatizo kubwa la hizo gari ni engine.kilomita zake zikifika unatakiwa ubadili engine nyingine uweke mpyaa.na nyingi zinazouzwa hiko zinauzwa kwa kuwa au km zakubadilishwa engine zishafika au zinakaribia.

Pia kwenye spea kiukweli zipo juu coz mm nifundi na nimezitengeneza sana hivyo bei yake ni mkasi kidogo sababu gari zipo chache na spea zake ni zakuhesabika.


Lakini kama unauwezo wa kuagiza iko powasana
 
TE="Sir_Finus, post: 18132988, member: 40513"]Lita 1 km 6 duh hyo si kama gar yenye engine ya cc 2300...
Then kwa nn now hauna hilo gar?
Lilizingua au ilikuwaje?
Vp kuhusu spare zake bongo?[/QUOTE]
Mkuu hiyo gari ni nzuri sana lakini kama unataka ku enjoy nayo jitahidi uipate ambayo km zake bado sana.na wauza spea nao wanauzia sifa kwanza spea ni chache lkn kama unaagiza bei yake ni nzuri ya kawaida.hiyo gari inakimbia sana na kwa safari ndefu ndio powa lkn kwa bongo hapa foleni hizi sio nzuri..na ugonjwa wake mkubwa ikianza kuzingua ni kuzima zima kwenye silensa au ukiwa kwenye folen.itafika mda inakuwa na hard start.

Kabla hujanunua jaribu kutembelea kuna forum ya mazda rx8 uone changamoto na matatizo common ya hizo gari kwa wenzetu wwanao zitumia sana.
 
Shukrani sana [HASHTAG]#lege[/HASHTAG]
Vp na ukilicompare na BMW Z3?
Achilia mbali la seat capacity juc techicality kam ulishawahi liangalia na hilo au kulitumia
 
Back
Top Bottom