RealTz77
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 738
- 40
Katika ile hali ya kutapatapa kwa Wahindi wa jengo la Myfair Plaza pale Mikocheni hali sasa yaelekea kuwa tete au mbaya. Kwa wale wanapafahamu wanajua ya kuwa wapangaji/tenants wengi wakubwa wamehama na wataendelea kupakimbia, hawa ni shoprite, Norwegian People Aid, Tigo, Furniture...., now zain, etc. But kutokana na heading above nimeshangaa kidogo kuwa pale pamekuwa mahali pa kwenda na demu/dume wako na kulipia short time au kulala (u choose) kwa bei tofauti sawa tu na zile guest zetu za uswazi. so utakuta mlango huu office mlango unaofuata watu wanapigana miti fasta na kutoka, sasa bongo pamekuwa tambarare,bado PPF tower nao wataanza,ujue price za kurent are too high in Dar, acha landlords wapate msukosuko watashusha tu bei, wapo very high unecessarly!