Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Hiyo comment yangu umeipita kama hujaiona
Hiyo comment yangu umeipita kama hujaiona
Mkuu Papushi, kwanza unisamehe kwa kutoliona bandiko lako, kama ulilisikia vizuri swali langu niliuliza kama uchaguzi ulikuwa huru, wa haki, na very transparent, kwa nini walivamia tallying center ya UKAWA na ya kituo cha haki za binaadamu?!, nikauliza kama there were nothing to hide, kanini wazuie independent tallying?!. Natumaini usikia jibu kuwa kufanya tallying sio kosa, kosa ni kutangaza au kusambaza hayo matokeo ya hizo tallying, na kusema waliokamatwa kosa lao sio tallying bali kusambaza hizo tallying.Mkuu Jana wakati unamuulizia Kailima swali kuhusu vituo ambavyo vilivamiwa wakati wanahesabau kura naona uliegemea upande mmoja kwa sababu hata ccm nao walikuwa wanahesabau lakini wao hawakuvamiwa, halafu wewe ukatoa conclusion ya moja kwa moja kwamba eti wale wanaosema wana Rais wao wa mioyo waache kwa sababu uchaguzi ulikuwa huru na haki..... Kwa kweli hapa hukutenda haki
Kituo cha haki za binadamu walikuwa wanasambaza matokeo?Je,kwanini CCM hawakuvamiwa pale mlimani city wakati January Makamba alitangaza idadi ya wabunge wao wakati hata majimbo mengine yakiwa bado hayajatangaza matokeo?Mkuu Papushi, kwanza unisamehe kwa kutoliona bandiko lako, kama ulilisikia vizuri swali langu niliuliza kama uchaguzi ulikuwa huru, wa haki, na very transparent, kwa nini walivamia tallying center ya UKAWA na ya kituo cha haki za binaadamu?!, nikauliza kama there were nothing to hide, kanini wazuie independent tallying?!. Natumaini usikia jibu kuwa kufanya tallying sio kosa, kosa ni kutangaza au kusambaza hayo matokeo ya hizo tallying, na kusema waliokamatwa kosa lao sio tallying bali kusambaza hizo tallying.
Hili la rais wa mioyoni mwa watu nilisema rukhsa na kutawala nchi za ndani ya mioyo, lakini rais wa nchi ni yule aliyetangazwa na NEC!, kuna ubaya gani kwa kauli hiyo?!, jee unamjua rais wa ndani ya moyo wangu?!.
Nilisisitiza tuu kuwa asiyekubali kushinda sii mshindani!. Sisi kama Watanzania, lazima tufike mahali tuambiane ukweli, hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, ndio ukweli. Ukiambiwa fulani ndio alishinda ila akachakachuliwa, usiishie kuamini tuu kirahisi rahisi bali ujiridhishe alishindaje na huku matokeo yamebandikwa kwenye kila kituo?!.
Paskali
nitayauliza maswali haya katika kipindi kitakachofuata.Kituo cha haki za binadamu walikuwa wanasambaza matokeo?Je,kwanini CCM hawakuvamiwa pale mlimani city wakati January Makamba alitangaza idadi ya wabunge wao wakati hata majimbo mengine yakiwa bado hayajatangaza matokeo?
Nashukuru kwa majibu... Lakini naamini bado kulikuwa kuna maswali mengi ya kumuuliza, naomba kama ukipata nafasi ya kwenda kumuhoji, tunaomba na sisi tukupe maswali yetu.Mkuu Papushi, kwanza unisamehe kwa kutoliona bandiko lako, kama ulilisikia vizuri swali langu niliuliza kama uchaguzi ulikuwa huru, wa haki, na very transparent, kwa nini walivamia tallying center ya UKAWA na ya kituo cha haki za binaadamu?!, nikauliza kama there were nothing to hide, kanini wazuie independent tallying?!. Natumaini usikia jibu kuwa kufanya tallying sio kosa, kosa ni kutangaza au kusambaza hayo matokeo ya hizo tallying, na kusema waliokamatwa kosa lao sio tallying bali kusambaza hizo tallying.
Hili la rais wa mioyoni mwa watu nilisema rukhsa na kutawala nchi za ndani ya mioyo, lakini rais wa nchi ni yule aliyetangazwa na NEC!, kuna ubaya gani kwa kauli hiyo?!, jee unamjua rais wa ndani ya moyo wangu?!.
Nilisisitiza tuu kuwa asiyekubali kushinda sii mshindani!. Sisi kama Watanzania, lazima tufike mahali tuambiane ukweli, hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, ndio ukweli. Ukiambiwa fulani ndio alishinda ila akachakachuliwa, usiishie kuamini tuu kirahisi rahisi bali ujiridhishe alishindaje na huku matokeo yamebandikwa kwenye kila kituo?!.
Paskali
Nitafuatilianitayauliza maswali haya katika kipindi kitakachofuata.
Paskali
Kituo cha haki za binadamu walikuwa wanasambaza matokeo?Je,kwanini CCM hawakuvamiwa pale mlimani city wakati January Makamba alitangaza idadi ya wabunge wao wakati hata majimbo mengine yakiwa bado hayajatangaza matokeo?
Vizuri,umeonesha upumbav wako!Usiqoute watu kama huenei kwenye jukwaa husika,nenda kule unapofit!NakupuuzaHakufanya fujo, furugu wala kutoa maneno ya uchochezi. Kifupi hakua kavuta bangi.
Vizuri,umeonesha upumbav wako!Usiqoute watu kama huenei kwenye jukwaa husika,nenda kule unapofit!Nakupuuza
Mkuu Kaa la Moto, ni kweli tulitofautiana na Ansbert kwenye eneo hili, mimi nilisisitiza Kikwete apongezwe kwa mazuri yake na kulaumiwa kwa mabaya yake, nikasisitiza haiwezekani iwe ni kulaumu tuu, mwenzangu akadai hayo mazuri ni katika kutimiza wajibu wake!, hoja yangu mimi ni kuwa na shukrani, hata kama ni kutimiza wajibu wake, kama ametimiza vizuri anastahili pongezi.
Paskali
nitayauliza maswali haya katika kipindi kitakachofuata.
Paskali
Mkuu The Monk , huwezi amini, hii posti yako, ndio naiona leo!. Naunga mkono hoja.Hapo watu hawatakuelewa kaka, hauwezi kuniambia mtu katumikia taasis kwa kipindi chote hicho hakuwahi kufanya jema hata moja. Kama kila zuri analolifanya mtu ni kutimiza wajibu, kusingekua na kusifia mtu yeyote kwa chochote kwa sababu kila mtu akifanya mazuri, anatimiza wajibu wake. Naungana na wewe, kwa mazuri asifiwe na kwa mabaya alaumiwe.
Amenifurahisha ngurumo alipoambiwa na mayalla kuwa rais ana mazuri ya kusifiwa majibu yake hana sababu ya kumsifia rais kwa kazi aliyoomba mwenyewe ila atamlaumu kwa kazi aliyiomba na kushindwa kuifanya.
Mkuu Kamundu , hii no hoja ya msingi sana!. Naunga mkono hoja , hapo nilikuwa studio ya Star TV, Mwanza nikiwa live na Ansbert Ngurumo.Kuna watu wanaoenda kupinga kila kitu kwao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Mkuu Ringo Edmund, wewe mtu upo?, niko jikoni kuna vitu napika, soon vitaiva na nitawapakulia ni mwendo wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, mengine yote yatafuata!.Naangalia star tv tuongee asubuhi naona pascal mayalla amenikuna kweli
Pascall big up simamia ukweli na taifa litakukumbuka baadae.
Huyo alikuwa Pasco wa JF, wa sasa ni Pascal Mayalla ni watu Wawili tofauti.Mkuu Ringo Edmund, wewe mtu upo?, niko jikoni kuna vitu napika, soon vitaiva na nitawapakulia ni mwendo wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, mengine yote yatafuata!.
P
Utofauti wao ni upi?Huyo alikuwa Pasco wa JF, wa sasa ni Pascal Mayalla ni watu Wawili tofauti.