Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana

Mebuttefly

Member
Feb 5, 2014
90
51
Mayai ya kuku wa kienyeji yanapatikana kwa wingi.Trei moja yenye mayai 30 tunauza shilingi za kitanzania elfu 15 tu.Agiza na uletewe popote ulipo ndani ya Dar es Salaam. 0788-407407
 
Mkuu haya mayai huwa yanakaa kwa muda gani kabla ya kuharibika endapo imetokea nimechukua trei zaidi ya moja au mbili?
 
Nimsaidie kujibu.

Yai lolote huhitaji joto la chini ya nyuzi 22 na zaidi ya nyuzi joto 16,Kulitunza,ambapo lawwza kukaa zaidi ya siku saba au kumi na tano mpaka ishirini.mahali oengine yai laweza kutunzwa miezi kadhaa lisiharibike na likatotolewa.

Kwa majibu haya,namaanisha kuwa yai hata likiwa la siku moja,kama halitatunzwa mahali pa joto la wastani nililosema,laweza kuharibika.kwahiyo pamoja na kuuliza yai la siku ngapi,pia tuulize alihifadhi wapi.
 
Yakisasa siwezi pata?
 
Sahii kabisa
 
Mkuu haya mayai huwa yanakaa kwa muda gani kabla ya kuharibika endapo imetokea nimechukua trei zaidi ya moja au mbili?

Sina hamu na haya mayai mara kadhaa nimenunua lkn nakuta ni mabovu zaidi ya nusu ya trei. Nadhani yanakuwa yamekaa muda zaidi hivyo yanatengeneza majimaji ndani. Nitakula ya kuku wangu lakini ku risk kununua nisiyoyajua yamekaa muda gani nilishakoma
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom