Mayai ya kuku feki

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,572
10,275
jamani naombeni msaada wenu,nasikia kuna mayai ya kuku wa kisasa yameingia yana madhara kwa afya hasa wanaume inasemekana inawapunguzia nguvu za kiume,kuna ukweli wowote wadau?
 
sijakuelewa, unamaana hayo mayai yameingia tumboni mwako au bandani kwako?naomba ufafanuzi:smash:
jamani naombeni msaada wenu,nasikia kuna mayai ya kuku wa kisasa yameingia yana madhara kwa afya hasa wanaume inasemekana inawapunguzia nguvu za kiume,kuna ukweli wowote wadau?
 
Bee mwana beh!

Mayai ya kuku feki, au mayai feki ya kuku?

Na nani alikwambia ni madhara kupungukiwa na nguvu za kiume? Acha zipungue kwani kwanza tukiacha masihara, hizi nguvu za kazi gani hasa manake wanawake hawana lkn still wanabeba mizigo na ndoo za maji kichwani!
 
Back
Top Bottom