Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

Nashukuru mkuu, mimi nico Kahama na huku sijaona kabisa bukini hata hao nilionao nilinunua Mwanza na alieniuzia aliisha wauza wote sijui unaweza nisaidia kama una jogoo la kuuza ili nilinunue
 
Mh wakuu hao bata bukini wapoje na wanasifa gani nauliza tu sababu bei imenistua au ni adimu kupatikana.
 
Nashukuru mkuu, mimi nico Kahama na huku sijaona kabisa bukini hata hao nilionao nilinunua Mwanza na alieniuzia aliisha wauza wote sijui unaweza nisaidia kama una jogoo la kuuza ili nilinunue
Ninao bukini ipe namba yako ya simu tuongee
1475238721807.jpg
 
Habari, hao Tausi wanapatikana kweli? Kama wanapatikana, nipe bei niwafuate mkuu.
Utafungwa comrade. Mayai ya Tausi yanapatika kwenye vichaka vidogo mtaa wa Shaaban Roberts lile eneo kwasasa wamejenga ubalozi wa India, wale toto tundu walikuwa wanajipatia vitamin. Pia viwanja vya ikulu sijui utaingiaje na ukiyapata ni kula tu mayai, wakikuta na Tausi Utafungwa
 
Back
Top Bottom