Mayai feki yameingia Tanzania

Tz ni jalala la dunia, simu feki matokeo ya uchaguzi feki dawa feki viongozi feki evthing is fek we all suffer from fek d'ses, am sory this msg is fek
 
Nina wasi wasi sana na hii habari, isije ikawa ni fitina tuu ya wauza mayai wetu wa ki Tz waogopa ushindani! Kama kuna mwana JF aliye yaona hayo mayai ambayo hayana kiini, yana nyuzi nyuzi tunaomba athibitishe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom