Mayahudi Weusi

Mimi ni myahudi mweusi. Bila uyahudi kusingekuwepo na Ukristo wala Uislamu. Tumewafundisheni dini na kuishi vizuri, bila dini mngekuwa mnakatana mapanga tu.

Napenda kukuuliza mwenzangu wewe unaishi dunia gani sasa?

Dunia ya sasa tu tukiacha kipindi hicho cha amri zenu kumi za....
Au wakati wakueneza deen zenu. More people have been killed in the name of god than for any other reason

1. Bosnia-Herzegovina: 1992-1995 - 200,000 Deaths
2. Rwanda: 1994 - 800,000 Deaths
3. Pol Pot in Cambodia: 1975-1979 - 2,000,000 Deaths
4. Nazi Holocaust: 1938-1945 - 6,000,000 Deaths
5. Rape of Nanking: 1937-1938 - 300,000 Deaths
6. Stalin's Forced Famine: 1932-1933 - 7,000,000 Deaths
7. Armenians in Turkey: 1915-1918 - 1,500,000 Deaths

8. Northen Ireland: I dont know how many people have been killed.

And not forget, terrorist groups are still doing their things these days.
 
In the name of creating their version of a religion-free utopia, Adolf Hitler, Joseph Stalin, and Mao Zedong produced the kind of mass slaughter that no Inquisitor could possibly match. Collectively these atheist tyrants murdered more than 100 million people.
 
Success always attracts envy especially if you are more successful than your enemy. Poleni sana ambao mafanikio ya sisi "wayahudi weusi" inawauma. Labda mkitumia muda mwingi zaidi kufanya kazi na siyo kutu chukia nanyi mtakuja fika.
 
Mimi si mayahudi lakini mimi ni Myahudi. Yaani kwa lugha ya wazungu I am a Jew.
Mungu ninayemwabudu ni Jehova na si allah, So what, you mohamed's followers?
Mbona mnatumaindi sana?

Achaa kutudanganya bwana wee, mayahudi weusi hawajitaji! (it is a secreet propoganda team),

wewe ni mwaafrika kama sisi tu.
 
Myahudi mweusi kuhusu Adolf Hitler soma kitabu kinachoitwa The Holy Reich

Hitler and the Nazis: Working God's Will Against the Jews
 
Myahudi mweusi kuhusu Adolf Hitler soma kitabu kinachoitwa The Holy Reich

Hitler and the Nazis: Working God's Will Against the Jews

Darwin's idea that evolution means "the preservation of favored races in the struggle for life" eventually led to Nazism and the Jewish holocaust.

In Mein Kampf, Hitler used the German word for evolution (Entwicklung) many times, citing "lower human types." He criticized the Jews for bringing "Negroes into the Rhineland" with the aim of "ruining the white race by the necessarily resulting ization." He spoke of "Monstrosities halfway between man and ape" and lamented the fact of Christians going to "Central Africa" to set up "Negro missions," resulting in the turning of "healthy . . . human beings into a rotten brood of s."
 
Jamani hivi mtaelimika lini huu nauita ujinga tena mkubwa tu! leo hii nikiuliza mchango wa Jews kwa watanzania vizazi na vizazi hawata sahau ,
udsm,bugando,muhimbili n.k

ukiulizwa mchango wa warabu nini zaidi ya kuwachukuwa wababu zetu na kuwapeleka arabuni kisha kuwa khani**(tusi) ndio maana hakuna waarabu wenye asili ya Tanzania.

Jews long long live.

Nilishasema kuwa mimi myahudi mweusi. Pamoja na hayo ni open minded. Wengi hapa baada ya kusoma kwenye vitabu vya dini na kuona kuwa wayahudi tumebarikiwa basi mnafikiri na nyinyi mkijiita wayahudi basi mbaraka wa Mungu utawapitia. Ukweli wa mambo ni kazi na juhudi zako zitakupa mbaraka ni sio lazima kujifanya wewe myahudi.

Kabla ya kuanzishwa kwa taifa la sasa la Israel, kulikuwa na idadi kubwa ya wayahudi walioishi kwenye nchi za Kiarabu. Hivyo kwa namna moja au nyingine walifaidika na biashara ya watumwa kutoka barani Afrika. Wenye biashara za meli na mitaji walikuwa wayahudi.

Vilevile misaada iliyotolewa ilikuwa ya kutaka kununua marafiki kama Taiwan inavyofanya sasa.

Wako

Z10.
 
Achaa kutudanganya bwana wee, mayahudi weusi hawajitaji bwana (it is a secreet propoganda team),

wewe ni mwaafrika kama sisi tu.

Kwa hiyo Muafrila hawezi kuwa Myahudi? Na ni kipi haswa siri kuwa Myahudi au kuwa Myahudi mweusi in specific?
 
Nitakushukuru kama utanielewesha umuhimu wa hoja hii.

Soma maneno haya ya ndugu mandago,

Ndugu zangu Wakristo na Ndugu zangu Waislamu,

siku hizi wameenea kila sehemu mayahudi weusi hasa hapa TZ wapo, na nia yao na kazi yao kubwa ni kuwachonganisha wakristo na waislamu ili wasipatane, wanatumia kila njia ili wafanikiwe kutekeleza lengo lao hilo, wanatumia hata internet kueneza vitina zao hizo, hata humu.. wamo, wengine wanajifanya kama vile wakristo na kuanza kuwatukana waislamu, na wengine wanajifanya kama vile waislamu na kuanza kuwatukana wakristo, lengo lao ni kuweka chuki baina ya waumini wa dini hizi mbili zinazo karibiana sana katika imani zao, siwezi kuwataja kwa majina jamaa hawa lakini nyie wenyewe mtaweza kuwajua mkiwa mnapima maneno yao, kwa hiyo, kuweni waangalifu...


nawaomba waislamu na wakristo tuendelee kuishi vizuri pamoja kama mababu zetu walivyo kuwa wakiishi kwa mapenzi na kuheshimiana.
 
Darwin's idea that evolution means "the preservation of favored races in the struggle for life" eventually led to Nazism and the Jewish holocaust.

In Mein Kampf, Hitler used the German word for evolution (Entwicklung) many times, citing "lower human types." He criticized the Jews for bringing "Negroes into the Rhineland" with the aim of "ruining the white race by the necessarily resulting ization." He spoke of "Monstrosities halfway between man and ape" and lamented the fact of Christians going to "Central Africa" to set up "Negro missions," resulting in the turning of "healthy . . . human beings into a rotten brood of s."
You dont know what are you talking about dont you?

Entwicklung = developing

Gat Verdamme jij weet het niet wat jij over praten!!!!

And other question,

Why in U.S.A there is NO any christians group open their mouth to KKK .

Jij bent nog een kind mijn vriend.
 
You dont know what are you talking about dont you?

Entwicklung = developing

Gat Verdamme jij weet het niet wat jij over praten!!!!

And other question,

Why in U.S.A there is NO any christians group open their mouth to KKK .

Jij bent nog een kind mijn vriend.

Who cares about KKK.

Back to my argument, why did Hitler criticized the Jews for bringing "Negroes into the Rhineland" with the aim of "ruining the white race by the necessarily resulting ization?
 
Who cares about KKK.

Back to my argument, why did Hitler criticized the Jews for bringing "Negroes into the Rhineland" with the aim of "ruining the white race by the necessarily resulting ization?
Now I know your problem
 
Kwa hiyo Muafrila hawezi kuwa Myahudi? Na ni kipi haswa siri kuwa Myahudi au kuwa Myahudi mweusi in specific?

Please read all the posts from the begining then you will know who are mayahudi weusi are!

I can not repeat every thing for you, I am sorry for that.
 
Who cares about KKK.

Back to my argument, why did Hitler criticized the Jews for bringing "Negroes into the Rhineland" with the aim of "ruining the white race by the necessarily resulting ization?


Nilipost hii au hujaisoma?
Myahudi mweusi kuhusu Adolf Hitler soma kitabu kinachoitwa The Holy Reich

Hitler and the Nazis: Working God's Will Against the Jews
 
Nasisitiza tena mimi ni jew!
mbona mnatumaindi sana nyie mohamed's followers?
Come on you haters!:(


Mkuu si unajuwa kule kwao hakuna kitu, wao ni kukopi kwetu tuuuu. lol.

Mimi sijawahi kusikia Mkristo anasema eti Marehemu Muham-mad yupo ndani ya Biblia, lakini wao, Yesu katajwa mara nyingi kwenye Kolani kuliko Marehemu Muham-mad.

Swali lako linabakia pale pale, mbona wanatumaindi hawa watu!
 
MAYAHUDI WALIOVUNJA SABATO.

Kisa hiki kimetajwa ndani ya Qurani tukufu. Na watu hawa walikuwa ni Mayahudi ambao walivunja taadhima ya siku hiyo ya Jumamosi. Nao walikuwa wakaazi wa mji ulioitwa Ayla, mji huo ulioko kati ya Madyan na Tuwr ambao uko kando ya bahari.

Hawa Mayahudi walikuwa ni wavuvi wa samaki. Ibn Abbaas R.A.A. kasema: "Walikuwa wameshika dini ya Taurati iliyoharamisha kufanya kazi siku hiyo ya Jumamosi katika zama zao. Na sheria iliyokuwamo ndani ya Taurati iliwaharamishia kuvua samaki siku hiyo ya Jumamosi. Licha ya kuharamishwa kuvua samaki bali ilikuwa hata haramu kufanya kazi yoyote ile ya kujipatia fedha, kwani haikuwa ni siku ya kufanya kazi bali Mola Mtukufu aliifanya iwe ni siku ya ibada yao tu ya kumtukuza Mwenyezi Mungu. Mola alijalia siku hiyo ya mapumziko wawe samaki wengi sana juu ya bahari, na uwingi wao ulikuwa kuliko siku yoyote ile nyingine.

Na hayo hayakutokea isipokuwa ulikuwa ni mtihani na majaribio makubwa uliotoka kwa Mola wao wa kutii na kuasi, na hii haikuwa ila baada ya kuzidi zile kufuru zao walizokuwa wakizifanya.

Kwa hali hiyo baadhi yao wakavutika kuwaona samaki wengi wakiogelea juu ya bahari siku hiyo ya Jumamosi ambayo walikatazwa kuvua samaki, hivyo wakafanya ujanja wa kuweka nyavu zao za kutegea samaki siku ya Ijumaa pamoja na kuchimba mifereji ya maji kutoka baharini mpaka kwenye mitego ya samaki waliyounda wao wenyewe.

Na kila samaki aliyeingia humo mferejini alishindwa kutoka. Nao wakawa wakienda kuwachukuwa samaki hao siku ya Jumapili.

Ikawa siku ya Jumamosi haikupita bure bila kazi. Vitendo vyao hivi vilimghadhibisha sana Mola Mtukufu kisha akawalani kwa kule kwenda kinyume na kuvunja amri Yake kwa kufanya hila ambazo zilikuwa wazi kabisa kwa mtu yeyote yule mwenye kuona. Na walipokwenda kinyume na ile amri ya Mola Mtukufu, baadhi yao ambao hawakuvunja sheria ya Jumamosi waligawanyika makundi mawili.

Kundi moja liliwalaumu na kuwakataza wale watu wakosefu waliokwenda kinyume na sheria hiyo ya kuvua samaki. Na kundi la pili hawakufanya hivyo wala hawakukataza bali waliwalaumu wale watu waliokataza kufanya kile kitendo cha uovu cha kuvua smaki wakasema: "Faida gani ya kuwakataza watu ambao tanguwapo Mwenyezi Mungu atawateketeza au atawaadhibu adhabu kali?" Lakini lile kundi la kwanza lilijibu: "Ili uwe ni udhuru kwa Mola wenu ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, kisha sisi kuepukana na adhabu Yake, na huenda nao wakatubu wakamcha Mungu wakaacha kile kitendo kiovu baadaye Mola wao akawasamehe madhambi yao." Na walipoendelea kwa yale waliokatazwa Mola Mtukufu aliwaadhibu wao pamoja na lile kundi la pili ambalo halikukataza mabaya."

Kisa hiki kimetolewa kwa urefu katika Suratil A`araaf tangu aya ya 163 hadi 166, "

"Na waulize khabari za mji uliokuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisiokuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotofu. Na kikundi kati yao walisema: "Kwa nini mnawawaidhi watu ambao tanguwapo Mwenyezi Mungu atawateketeza au atawaadhibu adhabu kali?" Wakasema: "Ili uwe ni udhuru kwa Mola wenu, na huenda nao wakamcha Mungu." Basi walipoyasahau waliyokumbushwa, tuliwaokoa waliokuwa wakikataza maovu, na tukawatesa waliodhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyokuwa wakifanya upotofu. Walipojifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: "Kuweni manyani wa kudharauliwa."

Na pia katika Suratil Baqarah aya ya 65 na ya 66,

"Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walioivunja Sabato (ambayo ilikuwa ni siku ya mapumziko, Jumamosi) na tukawaambiya: "Kuweni manyani wadhalilifu." Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale waliokuwa katika zama zao na waliokuja baada yao, na mawaidha kwa wachaMungu."

Pia kimetolewa katika Suratin Nisaa aya ya 47,

"…Au tukawalaani kama tulivyowalani watu wa Sabato (Jumaamosi). Na amri ya Mwenyezi Mungu ni lazima ifanyike."
 
MAYAHUDI KUSEMA MANENO YA DHAMBI.

Mwenyezi Mungu S.W.T. aliwahadharisha sana Mayahudi na akawaonya wasiseme maneno ya dhambi. Na hasa Wanavyuoni wao aliwalaumu sana kwa kule kuacha kukataza ule msemo wa maneno ya dhambi. Kama alivyotueleza Mwenyezi Mungu S.W.T. katika suratil Maaida aya ya 63,
"
"Mbona Wanavyuoni na Makuhani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na ulaji wao wa haramu? Ni maovu mno hayo wayafanyayo!"

Lakini Mayahudi waliendelea na huo msemo wao wa dhambi. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu S.W.T. akawalipa malipo ya kama waliyoyachuma. Kama alivyotusimulia katika Suratil An`aam aya ya 120,

"Na acheni dhambi zilizodhahiri na zilizofichikana. Hakika wanaochuma dhambi watalipwa kwa waliyokuwa wakiyachuma."

Na hayakuwa hayo maneno ya dhambi ila ni kumuudhi Mwenyezi Mungu S.W.T. na Mitume Yake. Kwa hali hiyo wakastahili laana ya Mola Mtukufu na ghadhabu Yake katika dunia na Akhera. Na Allah S.W.T. ametuhakikishia haya katika Qurani tukufu, kasema katika Suratil Ahzaab aya ya 57,
"
"Kwa yakini wale wanaomuudhi Mwenyezi Mungu na Mtume Wake (S.A.W.), Mwenyezi Mungu amewalaani katika dunia na Akhera, na amewaandalia adhabu ifedheheshayo."

Na hapa chini nitataja moja moja yale maneno ya dhambi waliyoyasema Mayahudi kama ifuatavyo:-

1.KUSEMA "MKONO WA MWENYEZI MUNGU UMEFUMBA.

Mayahudi walisema maneno chungu nzima ya dhambi na kwa sababu hiyo wakalaaniwa. Na moja ya neno hilo lilikuwa "Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba." Kama alivyosema Mwenyezi Mungu S.W.T. katika Suratil Maaida aya ya 64,

"Na Mayahudi walisema: "Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba." Mikono yao ndiyo iliyofumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyoyasema. Bali mikono Yake iwazi. Hutoa apendavyo..."

Na katika Hadithi iliyopokelewa na Ibn Abbas R.A.A. kasema,
"
"Kasema mwanamume mmoja miongoni mwa Mayahudi aitwaye Shaas bin Qais: "Hakika Mola wako bakhili hatoi." Mwenyezi Mungu akateremsha [Na Mayahudi walisema: "Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba." Mikono yao ndiyo iliyofumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyoyasema. Bali mikono Yake iwazi. Hutoa apendavyo.]"

Inasemekana Mwenyezi Mungu S.W.T. aliwaneemesha sana Mayahudi kwa mali nyingi wakawa ni watu matajiri sana. Lakini walipomuasi Mola Mtukufu kwa sababu ya kumkufuru Mtume Muhammad S.A.W. na kuukadhibisha ujumbe wake. Akawanyang`anya ile mali aliyowapa. Kwa sababu hiyo Mayahudi wakasema: "Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba." Na Mola Mtukufu akalipizia kisasi kwa hilo neno lao baya kwa kuwafanya wawe mabakhili na maskini na wakaidi.

Na Mwenyezi Mungu S.W.T. akawahakikishia katika aya hiyo hiyo ya Suratil Maaida aya ya 64 kuwa,

"Mikono Yake iwazi. Hutoa apendavyo."

Na Mwenyezi Mungu Mtukufu kasema katika aya nyingine katika Qurani tukufu kwamba kawafadhilisha binadamu kwa neema zisizohesabika. Kasema katika Surat Ibrahim aya ya 34, "


"Na akakupeni kila mlichomwomba (na msichomwomba). Na kama mkihesabu neema za Mwenyezi Mungu, hamtaweza kuzihesabu. Bila shaka mwanadamu ni dhalimu mkubwa asiye na shukurani (mwizi wa fadhila)."

Na kama ilivyokuja katika Hadithi iliyopokelewa na Abu Huraira R.A.A. na iliyotolewa na L-Bukhari, Mtume S.A.W. kasema,

"Hakika mkono wa kuumeni wa Mwenyezi Mungu umejaa haupungui kutoa unatoa kwa wingi usiku na mchana. Jee! Hamuoni ulivyotoa tokeya kuumbwa mbingu na ardhi. Kwa hakika haupungui uliyo kuumeni Kwake. Kasema: "Na arshi Yake juu ya maji. Na mkono Wake mwingine unakamata. Unapandisha na kupunguza."

2.KUSEMA "MWENYEZI MUNGU NI FAKIRI NA SISI NI MATAJIRI.

Mayahudi walisema neno lingine la dhambi kumwambia Allah S.W.T. kwamba: "Yeye ni fakiri na wao ni matajiri." Na kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu S.W.T. amewaandalia huko Akhera adhabu ya Moto wa Jahannam. Kama alivyotusimulia katika Suratil Aali-`Imraan aya ya 181 na ya 182,

"Mwenyezi Mungu amekwishasikia kauli ya waliosema: "Mwenyezi Mungu ni masikini, na sisi ni matajiri." Tumeyaandika waliyoyasema, na pia kuwauwa kwao Manabii bila haki, na tutawaambia Siku ya Kiyama: "Onjeni adhabu ya kuungua." Haya ni kwa sababu ya iliyotanguliza mikono yenu, na kwamba Mwenyezi Mungu si mwenye kuwadhulumu waja."

3.KUMSINGIZIA BIBI MARYAM KUWA KAMZAA NABII ISSA (YESU) KWA KUZINI.

Mayahudi walizidisha maneno yao ya dhambi na wakafikia hadi kumsingizia Bibi Maryam ati kamzaa Nabii Issa Mtume wa Mwenyezi Mungu S.W.T. kwa kuzini na mtu mwema aliyeitwa Yuusuf Najjaar. Na neno lao hilo la uwongo la kutisha na la dhambi hawakuwa na dalili nalo na wala hoja yoyote ile. Na kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu S.W.T. aliwalaani mpaka siku ya Kiyama, kasema kutubainishia katika Suratin Nisaa aya 156,


"…Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa."

Mwenyezi Mungu S.W.T. atambebesha dhulma kubwa na dhambi yule mtu atakayemsingizia mwingine bila yule aliyesingiziwa kufanya kitendo kile. Kama alivyoelezea katika Suratil Ahzaab aya ya 58,

"Na wale wanaowaudhi Waislamu wanaume na Waislamu wanawake pasipo wao kufanya kosa lolote, bila shaka wamebeba dhulma kubwa na dhambi zilizo dhahiri."

4.KUSEMA "NYOYO ZETU ZIMEFUNIKWA."

Na katika neno lao la dhambi Mayahudi walisema: "Nyoyo zetu zimefunikwa." Na sababu ya kusema kwao hivyo walidai kwamba ati nyoyo zao zimejaa elimu walioletewa katika kitabu cha Taurati kwa hivyo hawahitajii ile elimu aliyokuja nayo Mtume Muhammad S.A.W. kuwafundisha. Na lau kama kweli walikuwa na elimu nyingi lakini hata hivyo hawakufahamu wala hawakutumia akili zao kuhusu mambo aliyokuwa akiwaelezea Mtume S.A.W.. Na kwa sababu hiyo wakastahili laana ya Mola Mtukufu. Na Mwenyezi Mungu S.W.T. amelielezea neno hili ndani ya Qurani tukufu, kasema katika Suratil Baqarah aya ya 88,

"Na walisema: "Nyoyo zetu zimefunikwa." Bali Mwenyezi Mungu amewalaani kwa kufuru zao: kwa hivyo ni kidogo tu wanayoyaamini."

Na katika Hadithi iliyopokelewa na Abu Said L-Khudriyy R.A.A. na iliyotolewa na Ahmad, Mtume S.A.W. kasema,

"(Aina za) nyoyo ni nne:…Na ama moyo wenye (kufunikwa na) kifuniko ni moyo wa kafiri…"

Na kauli ya Mayahudi ya kusema: "Nyoyo zetu zimefunikwa," imefananishwa sana na kauli waliyosema makafiri wa Kiarabu wakati Mtume S.A.W.alipokuwa akiwaita katika Uislamu. Kwani daima fikira za makafiri ni sawa.

Kama alivyotufahamisha Mwenyezi Mungu S.W.T. ndani ya Qurani tukufu, kasema katika Surat Fusilat (Ha-Mym-Sajdah) aya ya 5,

"Na wakasema: "Nyoyo zetu zi katika vifuniko kwa yale unayotuitia; na katika masikio yetu mna uzito; na baina yetu na baina yako kuna pazia; basi fanya (yako), na sisi tunafanya (yetu; kila mtu asimuingilie mwenziwe.)"

5.KUSEMA "MBONA MWENYEZI MUNGU HASEMI NA SISI."

Mayahudi waliendelea kusema maneno yao ya dhambi na moja ya neno lile walilosema lilikuwa:

"Mbona Mwenyezi Mungu hasemi nasi."

Kama alivyotuhadithia Mwenyezi Mungu S.W.T. katika Suratil Baqarah aya ya 118,

"Na walisema wale wasiojua kitu: "Mbona Mwenyezi Mungu hasemi nasi au zikatufikia Ishara." Vivyo hivyo walisema wale waliokuwa kabla yao, mfano wa kauli yao hii. Nyoyo zao zimefanana. Hakika Sisi tumeziweka wazi Ishara kwa watu wenye yakini."

Na Mwenyezi Mungu S.W.T. aliwajibu Mayahudi ndani ya Qurani katika Surat Sh-shuura aya ya 51,

"Na haikuwa kwa mtu kwamba Mwenyezi Mungu anasema naye ila kwa ilhamu (anayotiwa moyoni mwake) au kwa nyuma ya pazia (la kumsikilizisha sauti inayotokana na Mwenyezi Mungu pasina kumuona Mwenyewe) au humtuma Mjumbe (Jibril A.S.), naye humfunulia (humletea Wahyi) kiasi anachotaka kwa idhini Yake; bila shaka Yeye Ndiye Aliye juu, Mwenye hekima."

6.KUSEMA "HUTUTAAMINI MPAKA TUMUONE MWENYEZI MUNGU."

Mayahudi haikuwatosha kusema kwa matamanio yao kuwa:

"Tunataka tuseme na Mwenyezi Mungu Mtukufu,"

bali walifikia hata kuomba wamuone Mwenyezi Mungu Mtukufu Yeye Mwenyewe kwa macho yao ndio waamini baada ya kuwaijia Ishara zote na dalili za ukweli. Na Qurani tukufu imeleta dalili ya neno hilo:

"Na mliposema: Ewe Musa! Hatutakuamini mpaka tumwone Mwenyezi Mungu waziwazi."

Yakawa matokeo ya maombi haya ni kuwapatisha adhabu ya Mola Mtukufu. Aliwapiga radi ikawauwa wote nao wanaangalia kwa macho yao. Kisha baada ya hapo Mwenyezi Mungu S.W.T. akawahuisha ili wapate kushukuru neema Zake. Kama alivyotuhadithia Mwenyezi Mungu S.W.T. katika Suratil Baqarah aya ya 55 na ya 56,

"Na mliposema: "Ewe Musa! Hatutakuamini mpaka tumwone Mwenyezi Mungu waziwazi." Ikakunyakueni radi nanyi mnaangalia. Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate kushukuru."

7.KUSEMA "`UZEIR MWANA WA MWENYEZI MUNGU."

Mayahudi walimuitakidi `Uzeir ni mwana wa Mungu na hawakujua kuwa neno hilo lilikuwa ni la dhambi kubwa sana kumfanya Mola wa walimwengu wote kazaa mtoto. Kama alivyosema Mwenyezi Mungu S.W.T. katika Surat Tawba aya ya 30,

"Na Mayahudi wanasema: `Uzeir ni mwana wa Mwenyezi Mungu; Na Manasara (Wakristo) wanasema Masihi ni mwana wa Mwenyezi Mungu; haya ndio wasemayo kwa vinywa vyao (pasi na kuyapima). Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao, Mwenyezi Mungu awaangamize. Wanageuzwa namna gani hawa."

Na `Uzeir A.S. alikuwa ni Mtume katika Mitume walioletewa Mayahudi. Na inasemekana mfalme aitwaye Bukht-Nasr aliwauwa Wanavyuoni wote wa Kiyahudi na akabomoa majumba yao kisha akawachukua mateka wa Kiyahudi kuwapeleka Baabil (Hivi sasa ni nchi ya Iraq). Na wakati ule `Uzeir A.S. alikuwa bado kijana mdogo wakamwacha hai hawakumuua kwa sababu ya umri wake mdogo. Mayahudi waliporejea Baitil Muqaddas hawakupata mtu anayeweza kusoma Taurati. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu S.W.T. akamtuma `Uzeir A.S. awe akiwafundisha Taurati na pia awe muujiza kwao baada ya Mola Mtukufu kumfisha miaka mia na kumhuisha.

Aliporejea kwa Mayahudi aliwaambia:

"Mimi ni `Uzeir," wakamkadhibisha wakasema: "Ikiwa kweli kama unavyodai basi tusomee Taurati."

Alipokwishaisoma Taurati wakasema baadhi yao:

"Mwenyezi Mungu S.W.T. hakumwekea Taurati moyoni mwake ila kwa sababu ni mtoto wake."

Na kisa cha Nabii `Uzeir A.S. kimetajwa ndani ya Qurani tukufu, Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Baqarah aya ya 259,

"Au kama yule aliyepita karibu na mji uliokuwa umekufa akasema: "Mwenyezi Mungu atauhuisha vipi (mji) huu (na watu wake) baada ya kufa kwake?" Basi Mwenyezi Mungu alimfisha kwa miaka mia, kisha akamfufua akamuuliza: "Umekaa muda gani?" Akasema: "Nimekaa muda wa siku moja au sehemu ya siku." (Mwenyezi Mungu) Akasema: "Bali umekaa miaka mia; nawe tazama chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na mtazame punda wako (amekuwa mifupa mitupu iliyolikalika). Na ili tukufanye uwe hoja kwa watu (ndio tumekufufua hivi). Na itazame mifupa (ya punda wako jinsi tunavyoinyanyua, kisha tunaivisha nyama." Basi yalipombainikia (haya yule aliefufuliwa) alisema: "Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uwezo juu ya kila kitu."
 
Back
Top Bottom