May 21...ndio kilele cha nyodo za wanadamu?

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Kuna taarifa zimezagaa kuwa May 21 mwaka huu ndio mwisho wa Dunia...
Na kuna wanaokuja mpaka na Data za vitabu vya Dini wakithibitisha hilo...
Kuna nini hapa?
je kuna ukweli ndani yake?
 
]Kuna taarifa zimezagaa kuwa May 21 mwaka huu ndio mwisho wa Dunia[/COLOR]...
Na kuna wanaokuja mpaka na Data za vitabu vya Dini wakithibitisha hilo...
Kuna nini hapa?
je kuna ukweli ndani yake?

Ya kusikia sawa ,lakn changanya na zako mkuu,.....ukipata 1+1=2, then sawa and if the result is no then ni uongo,.....fungua akili na chukua hatua.......isije kukuta mabo ya kibwetere
 
Kwani 21 May ni mbali? kesho kutwa tu, waongo watajulikana, wengine tunaendelea kukamua kama kawa
 
Hakuna hajue siku ya kiama ni lini, hata malaika wa mbinguni hawajui Ila ni Mungu peke yake ndio anajua.
 
Kwa hiyo hicho kiama kitatokea kwa muda tofauti?? Maana wengine wataifikia hiyo mei 21 wakati sehemu nyingine ni mei 20 au wanamalizia siku ya 19 ya mei!
 
Back
Top Bottom