Maximo Kocha Mpya Yanga

Kwasababu mnachonga sana kagame tunawapiga wiki wapumbavu nyie.....
Teh teh.
Ngoja kwanza nikutajie kikosi mkuu.
1.Mustafa Bathez.
2.Salumu Telela.
3.Oscar Joshua.
4.Kelvin Yondani-mtoto wa Mwanza.
5.Canavaro wa bongo.
6.Chuji.
7.Nizar.
8.Niyonzima Haruna.
9.Chichili Chikwarakwara
10.Hamisi Kiiza Diego
11.Owen Kasule.
Kwenye Bench:
12.Said mohamed.
13.Teita
14.Nurdin Bakari
15.Gumbo
16.Tegete
17.Kijiko
18.Bakari Mbegu.
Kocha mkuu-Maximo.
Kocha msaidizi-Minziro.
Dr-Sufiani.
Mwenyekiti wa club-Manji.
Uwanja-Kaunda.
Idadi watazamaji-22,000.
Kwa mziki huu nani atatoka pale kaunda?
Acha bana!
 
Simba na nyie mleteni Jan Poulsen si ni tabaia yenu kuiga? Alipokuja Timbe nyie mkaleta Basena, akaja Papi na nyie mkaleta Milovan, sasa Maximo na nyie mtamrudisha PaulHuesni
 
Simba na nyie mleteni Jan Poulsen si ni tabaia yenu kuiga? Alipokuja Timbe nyie mkaleta Basena, akaja Papi na nyie mkaleta Milovan, sasa Maximo na nyie mtamrudisha PaulHuesni
Yaani nnaona michuano ya Kagame inachelewa balaa!
 
Teh teh.
Ngoja kwanza nikutajie kikosi mkuu.
1.Mustafa Bathez.
2.Salumu Telela.
3.Oscar Joshua.
4.Kelvin Yondani-mtoto wa Mwanza.
5.Canavaro wa bongo.
6.Chuji.
7.Nizar.
8.Niyonzima Haruna.
9.Chichili Chikwarakwara
10.Hamisi Kiiza Diego
11.Owen Kasule.
Kwenye Bench:
12.Said mohamed.
13.Teita
14.Nurdin Bakari
15.Gumbo
16.Tegete
17.Kijiko
18.Bakari Mbegu.
Kocha mkuu-Maximo.
Kocha msaidizi-Minziro.
Dr-Sufiani.
Mwenyekiti wa club-Manji.
Uwanja-Kaunda.
Idadi watazamaji-22,000.
Kwa mziki huu nani atatoka pale kaunda?
Acha bana!

Hatoki Mtuuu0,wela welaaaa. Yanga daima mbele nyuma mwiko
 
Kutoka nafasi ya 270 kwa viwango vya fifa hadi nafasi ya 86 siyo historia nzuri hiyo?

Huyu "Chuakachara" ni chizi.....nafasi iliyowahi kushika Taifa Stars katika ranks za Fifa ikiwa na Maximo haijawahi kushikwa tena let it be kabla or baada.
 
Ok, mlishamchukua Mogela(method na Zamoyoni) Gaga, Deo Njohole, Nurdin, Nsa, Waso, Kaseja...... La ajabu lipi mlifanya ktk soka? Gumbo mmemuua kipaji, sasa huyo kijana Kelvin Im sympathy with. Kwa historia yenu kondic , papic na micho, sidhani kama mna ujanja kwa marcio.
 
Simba na nyie mleteni Jan Poulsen si ni tabaia yenu kuiga? Alipokuja Timbe nyie mkaleta Basena, akaja Papi na nyie mkaleta Milovan, sasa Maximo na nyie mtamrudisha PaulHuesni

Ah mbona ndo zao,hawakuishia kwa makocha tu,walikwenda kuiga mpaka wachezaji kwani tulivyomsajili Mwape wao wakamsajili Sunzu,tulivyomvuta Kiiza wao wakahangaikahangaika wakaangukia kwa Derick Walulya sasa waige na hapo sasa kama kweli bado wanazo zile rambirambi za Pettyy(R.I.P
 
Teh teh.
Ngoja kwanza nikutajie kikosi mkuu.
1.Mustafa Bathez.
2.Salumu Telela.
3.Oscar Joshua.
4.Kelvin Yondani-mtoto wa Mwanza.
5.Canavaro wa bongo.
6.Chuji.
7.Nizar.
8.Niyonzima Haruna.
9.Chichili Chikwarakwara
10.Hamisi Kiiza Diego
11.Owen Kasule.
Kwenye Bench:
12.Said mohamed.
13.Teita
14.Nurdin Bakari
15.Gumbo
16.Tegete
17.Kijiko
18.Bakari Mbegu.
Kocha mkuu-Maximo.
Kocha msaidizi-Minziro.
Dr-Sufiani.
Mwenyekiti wa club-Manji.
Uwanja-Kaunda.
Idadi watazamaji-22,000.
Kwa mziki huu nani atatoka pale kaunda?
Acha bana!
..kwa makipa hao ndugu yangu....?
...huyo mzambia icje kuwa mabo ya mwape..?
 
Teh teh.
Ngoja kwanza nikutajie kikosi mkuu.
1.Mustafa Bathez.
2.Salumu Telela.
3.Oscar Joshua.
4.Kelvin Yondani-mtoto wa Mwanza.
5.Canavaro wa bongo.
6.Chuji.
7.Nizar.
8.Niyonzima Haruna.
9.Chichili Chikwarakwara
10.Hamisi Kiiza Diego
11.Owen Kasule.
Kwenye Bench:
12.Said mohamed.
13.Teita
14.Nurdin Bakari
15.Gumbo
16.Tegete
17.Kijiko
18.Bakari Mbegu.
Kocha mkuu-Maximo.
Kocha msaidizi-Minziro.
Dr-Sufiani.
Mwenyekiti wa club-Manji.
Uwanja-Kaunda.
Idadi watazamaji-22,000.
Kwa mziki huu nani atatoka pale kaunda?
Acha bana!

JF Members eh....embu takini my words....
Yanga hii ni kama T.P Mazembe wallah
 
Back
Top Bottom