Maximo Kocha Mpya Yanga

Kudadeki lazima simba wapakatwe chezea pesa wewe.Manji tunakutakia maisha marefu.Ubingwa wa Afrika huo unanukia
 
Kudadeki lazima simba wapakatwe chezea pesa wewe.Manji tunakutakia maisha marefu.Ubingwa wa Afrika huo unanukia

Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
 
Msimu mmoja tu....Maximo ataondoka Yanga kwa bakora baada ya Yanga kulambishwa tena mkono.
 
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani

kabla ya maximo kuja, je tz mlikuwa mnaweza piga pasi ata 2 tu! lazima tumkubali alibadilisha soka la bongo kwa kiasi kikubwa sana!
 
cheap tanzanians, hali mbaya sasa; the decoys are starting to divert our attention.....

Manji is there for obvious reasons, an old, very old phylosophy ya east europe

stuka
 
Huyu Maximo si ndiye watu walimbeza wakati ule?? tena amekuwa mzuri? maisha haya....

Jeuri ya pesa za mfadhili!......ukiwa nazo waweza kununua hata dabwada ukidhania mali.
Bado kiwewe cha 5-0 kinawasumbua.
 
Duh Manji anataka kuua kama mpaka Maximo ndani kweli pesa mwanaharamu.:drama:
 
Wewe Taifa Stars umeijua juzi nini watu hata kupiga mpira walikuwa hawajui alaaa ebooo
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
 
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani

Tukimfananisha na waliomtangulia na pia waliokuja baada yake, kuna mambo makubwa alifanya.
 
Jeuri ya pesa za mfadhili!......ukiwa nazo waweza kununua hata dabwada ukidhania mali.
Bado kiwewe cha 5-0 kinawasumbua.

pole kwa kushindia maziwa ya ngamia na ugali pale shandy sudan,. Tuache wenye hela tutumie
 
Mlango atakao ingilia Maximo asiufunge. Anaweza tokea huo huo tena kwa speed kali...amuulize Profesa Papic!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom