Maxence Melo alivyo-shine ndani ya Miss Universe!

Status
Not open for further replies.
Huyu mama Sarungi huwa namwamini miaka yote lakini mwaka huu kachemsha,huyu Nelly ana maskendo kibao na haishi kuandikwa kwenye magazeti kwa habari mbaya toka ashiriki miss Tanzania miaka 2 ilopita baadhi yakiwa umalaya,usagaji.ulevi wa kupindukia,picha za ngono e.t.c mwaka huu tunalo.

mkuu hata wa mwaka jana naye ni kama chotara fulani hivi.ndiyo maana najiuliza,kulikoni huko miis universe?mshindi lazima awe .5?haya kumbe huyu mtoto ana maskandali tayari,duh
 
Hahahaha kizuri kula na nduguyo.....nipe jina nimadd face book
Hahaha! Masa hiyo kitu haina undugu wala urafiki ni full uadui tu.

mkuu hata wa mwaka jana naye ni kama chotara fulani hivi.ndiyo maana najiuliza,kulikoni huko miis universe?mshindi lazima awe .5?haya kumbe huyu mtoto ana maskandali tayari,duh
Mi sina tatizo na rangi lakini maadili ya washindani tusije pata Wema mwingine lol!
 
Multivitamin, maziwa mtindi, supu na lita 3 za maji! Hangover kwisha...::.thanks for asking and njoo nayo

Maji nayo ni adui mkubwa wa mning'inio kuna jamaa zangu wakishautwika mtungi barabara basi huakikisha kabla ya kulala kupata lita mbili za maji na wakiamka asubuhi wako bomba tayari kwa shughuli zozote muhimu za siku hiyo.
 
Mkuu founder umeibukia huku? Duh..mi nlidhani JF ni kielelezo cha ma-think tank flani na walitarajiwa waende ktk muelekeo huo. Nways yote shwari tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom