Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 699
Hujasoma mambo yake? Akigusa habari za Uislamu anaanza kufoka tu. Namshukuru Mungu aliondolewa maana tangu ameondoka imewezakana kidogo kufanya majadiliano ya maana.hivi mtu wa dini hutukana????? Kwa nini mnashindwa kuwa wastaarabu au madhehebu yenu ndio yanapenda mambo ya matusi????
Wakati yuko? Haiwezekani. Kufoka na matusi. Tena yoote "kwa jina la Yesu", kwa hiyo siyo machafuko wa imani nyingine pia ya imani ya kikristo.