Max - Malipo

Habari wakuu,
nimekuwa nikisikia matangazo kuhusu mashine za max malipo zakampuni ya Maxcom (T) Ltd, Lakinisielewi bado ufanyaji wake wa kazi hasa suala la huduma za kifedha kama vile mpesa, tigo pesa n.k
hivi ukiwa na hiyo mashine je bado kuna shida ya kutafuta laini (sim card) ya uwakala au inakuaje?
Pia kama kuna mtu anafahamu ufanyaji wa kazi nyingine za mashine hii anitoe ushamba tafadhali.
Nawasilisha
 
We tafuta thread inahusu max malipo.ipo humu humu.utakuta wamefafanua kwa kina sana.
 
Habari wakuu,
nimekuwa nikisikia matangazo kuhusu mashine za max malipo zakampuni ya Maxcom (T) Ltd, Lakinisielewi bado ufanyaji wake wa kazi hasa suala la huduma za kifedha kama vile mpesa, tigo pesa n.k
hivi ukiwa na hiyo mashine je bado kuna shida ya kutafuta laini (sim card) ya uwakala au inakuaje?
Pia kama kuna mtu anafahamu ufanyaji wa kazi nyingine za mashine hii anitoe ushamba tafadhali.
Nawasilisha

Nenda knyama millenium tower wanauza mashine 850,000/= baada ya hapo weka salio hapohapo.kaanze kazi.
 
Hizi max malipo na na mashine zingine ni upuuzi mtupu. Ni kuzinufaisha hizo kampuni husika tu.
 
hawa jamaa bado sna technolojia yao, ninachoona mm ni kuwa wao ni mawakala wakuu kama mawakala wengine sasa wametumia ujanja tu wa kudirect mawakala wadogowadogo ili wawafanyie biashara zao bila kujijua na kupata faida kubwa kwao na kuwapunja mawakala wadogowadogo ambao ndio wanaofanya kazi za kuwaingizia faida katika kampuni zao. wanapata fedha bila kutoa majasho hao. yani wanalink tu na website yao ila nao ni mawakala kama ukienda ktk mitandao yetu wao nao wanahesabika kama mawakala ndio maan hadi leo wanavutana katika mambo ya m-pesa, tigo pesa airtel money bado hawajaingiza katka huduma zao.
 
Back
Top Bottom