Mawazo yangu kuhusu chadema

Mpendwa

Member
Jun 9, 2011
56
11
Ndg wadau mwenzenu nimetafakari na kuja na conclusion yangu juu ya CDM.
ccm wanadai wameshinda lakini hebu cheki hili...

1. Wamemtumia rais mstaafu
2.Mawaziri wa serikali
3.Polisi
4.Usalama wa taifa (kama si uharibifu wa taifa)
5.Bakwata
6.Chakula cha hongo
7.Pesa za Rostam
8.Zaidi ya Tsh 6,000,000,000/=
9. Kuruhusu wapiga kura wasio na vitambulisho kupiga kura hasa kwenye ngome ya ccm
10. Mamluki toka mikoa ya kanda ya ziwa nk
11. Siasa za maji taka
12.Ongezeni list..........................

na tofauti ya kura kuwa 3000!!! ME NAONA CHADEMA WANASTAHILI PONGEZI KUBWA MNO KATIKA HILI, INGAWA NAUMIA KWA KUTOPATA MBUNGE JIMBO HILO AMBALO CDM WALIMTOA BUNGENI aliyekuwepo!!! tusonge mbele

PEOPLESSSS'....................
 
CCM pia walimtumia
- DC Mwisilamu mula nguruwe.
- Julius Mtatiro baada ya kuhongwa Chopa
- Hamadi Rashidi
-TBC1, Star TV na Watangazaji wa ITV.
- Jeshi la msituni- Green Guard
Lakini bado makamanda wa CDM walizidi kupeta tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom