Mawazo yako katika mgawanyiko wa mikoa tafadhali

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Nimekua nikiwaza sana,kua mikoa ikionekana mikubwa inagawanywa kupata mikoa mipya.Majimbo yakiwa makubwa yanagawanywa kupata majimbo mapya.Je wingi wa majimbo na wingi wa mikoa ndio maendeleo?Kama ni ndio Mbona Tanzania nayo ni kubwa?Nisaidie tafadhali kujibu haya maswali
 
Hebu google kitu inayoitwa gerrymandering utapata jibu kwnin majimbo yanagawanywa.
 
Back
Top Bottom