FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
JF Siasa ni jukwaa ambalo limekuwa na wapenzi wengi wenye upeo mkubwa sana wa kuona mbali ..na wenye ushauri wenye hekima unaozama ndani sana na kwa kina kabisa ambao wahusika wakitekeleza ushauri na mawazo haya nchi yetu haitaendelea kuwa katika wimbi kubwa la umasikini,ufisadi ,Umeme na huduma nyingine muhimu kwa wananchi
Je message hizi zinawafikia walengwa kweli ??
FL1
Je message hizi zinawafikia walengwa kweli ??
FL1