Mawazo (Picha)



kutoka facebook huko:

inauma mtoto mdogo kaja duniani juzi tu, tayari kajua maisha ni magumu mno, labda anawaza sina, viatu vya shule, uniform, chakula shida, maji kuyachota, hata anaonekana nguo, mwili na jasho jingi, muda si mrefu atakata tamaa, inaumaaaaa
 
Na hilo lindoo la maji sijui atalibaba yeye Mungu wangu. Duu ama kweli dunia hii bora waliokufa, wamejipumzikia zao.
 
Back
Top Bottom