Mawazo na Experience....Is playing hard to get COOL or NOT?

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,783
59,149
Kwanza nianze ni kakaz.....

Kwanza kabisa linapokuja swala la kumwaga..kupokea sera na kutoa majibu kama mwanamke naamini hua tunajua kabisa jibu letu la mwisho litakua nini kabla hata hujamaliza kumwaga sera...labda sio wote ila baadhi!!Mtu anaweza kuona picha ya wewe na yeye pamoja kichwani mwake au picha ikawa imeungua.
Newayz swali langu kwenu ni hivi...kama mtu tayari amevutiwa na wewe na sera yako ameikubali moyoni je akusumbue au akuambie ukweli???Hapa simaanishi hapo hapo ila hata kesho yake au siku chache baadae??? Kama ambavyo nilifundishwa na mzee wangu kwamba hata kama tayari unajua uamuzi wako kuhusu kitu fulani....usitoe jibu au uamuzi papo hapo...''SLEEP ON IT '' ili ujipe muda wa kubadili mawazo au kujihakikishia kwamba unachotaka ndicho unachotaka!!!
Na hapa siongelei urahisi wa kumkubali yeyote bali kumrahisishia kazi unaemkubali..... kwa hiyo tusichanganye mambo!!

Kwa upande wa experience....dadaz kama mtu umemkubali as in umeridhika nae tangu anafungua kinywa chake je itakuchukua muda gani kumwambia kwamba umeridhia ombi lake?

Kwa wote....je muda anaochukua mtu kukubali unaathiri vipi malengo ya mahusiano???

Kwa wale nataka sitaki....leo ahhh mi sitaki kesho ukipewa nini sijui tayari umekubali!!Kama mtu huna uhakika badala ya kumpa mtu majibu ambayo kesho yatakuumbua ukikubali kwanini wasiwe wanasema wanahitaji muda wa kufikiri?Hapo jibu lolote utakalotoa baadae linakua ndilo na la uhakika na sio kuonekana kigeugeu!!!!

BTW hapa naongelea watu ambao wanafahamiana tayari....kwanzia miezi mitatu na zaidi!!!
 
Maamuzi ya kimahusiano hayapaswi kuharakishwa kama malipo ya dowans . . . . unamuona mtu leo ameku-apprroach then kesho umkatae????!! Surely hapa lazima utakuwa hujamchunguza dhumuni la kweli la mhusika, instead umemchunguza kimuonekano zaidi

Hata hivyo kama mtu umeamua kuwa muwazi kwa kumkataa live bila chenga basi mpe na sababu za kumkataa live bila chenga
 
Maamuzi ya kimahusiano hayapaswi kuharakishwa kama malipo ya dowans . . . . unamuona mtu leo ameku-apprroach then kesho umkatae????!! Surely hapa lazima utakuwa hujamchunguza dhumuni la kweli la mhusika, instead umemchunguza kimuonekano zaidi

Hata hivyo kama mtu umeamua kuwa muwazi kwa kumkataa live bila chenga basi mpe na sababu za kumkataa live bila chenga

Si ndio wengi wanachoangalia hicho???Bila kusahau size ya wallet!!!
 
kumkubali mtu unakutafsiri vipi?
Kwa mfano kuruhusu ngono ni kumkubali mtu?
Kwangu mtu akiaproach,kupitia muonekano wa kwanza jibu linatakiwa litoke.
Mfano. Sitaki kwasababu huna mvuto/hunivutii ,,,,,
au nipo tayari/nimekubali lakini nahitaji muda kidogo kukuja/fahamu zaidi.......
 
i wish michelle sees this with that topic of hers.....

Hashy please...embu mwache Michelle apumzike...ukimtaja tu kamoyo kanadunda!Kila siku unaweka moyo wake kwenye rollercoster.....besides size ya wallet doesn't matter to all just those who can not fill their own!!!!
 
may be she will believe

man about 99% of women sees first how well off you are in terms of dollars.....mapenzi watajifunzia humo humo..
:focus: playing hard to get aint cool at all.......
mama mchungaji Sometimes it can be a good thing but sometimes it can't. It realy depends on the person you were trying to play hard to get. It's alwys better to be straight forward...
 
kumkubali mtu unakutafsiri vipi?
Kwa mfano kuruhusu ngono ni kumkubali mtu?
Kwangu mtu akiaproach,kupitia muonekano wa kwanza jibu linatakiwa litoke.
Mfano. Sitaki kwasababu huna mvuto/hunivutii ,,,,,
au nipo tayari/nimekubali lakini nahitaji muda kidogo kukuja/fahamu zaidi.......

Kukubali kua na mahusiano nae...not necessarilly getting it down on the 6 by 6!!!

Hapo kwenye red ndo hapo wengi hua wanasema NO ukipress kidogo kesho anasema YES!
Na kwenye blue ndipo pagumu haswaaa......mtapelekana weee mpaka aje kukupa jibu linaloelewaka umechoka!!!
 
Sometimes maybe its not playing hard to get..., its taking time to get to know you better...
 
Sometimes maybe its not playing hard to get..., its taking time to get to know you better...[/QUOTE]

Not when you already know each other!!!
Maybe all she knows already is not enough, kwahiyo inabidi anayetaka aongeze bidii aonyeshe zile hidden features ambazo bado hazijaonekana, or maybe most of the time its a NO so its up to the guys to change that into a YES, because I believe with persistance most NOs can turn into a MAYBE, then WHY NOT eventually YES
 
Binafsi sio hadi nimwambie kwa mdomo kuwa nimeridhika.
Nitamuonesha tu.
 
Maybe all she knows already is not enough, maybe most of the time its a NO so its up to the guys to change that into a YES, because I believe with persistance most NOs can turn into a MAYBE, then WHY NOT eventually YES

Yeahh kwa mtu asie na msimamo No inaweza kuwa Yes baadae!Sasa tabia na vingine vilivyojificha unadhani hua vinaonywesha wakati huo wa kampeni?Huo ni muda wa kudanganya na kuficha makucha kwa wengi!
 
Baada ya muda gani lakini?

ni ngumu kujua exactly muda. Maana nitakuwa naongozwa na hisia. Kadri muda utakavyokuwa unaenda ndipo hisia zitakapokuwa zinaongezeka. Hatimaye nae atanielewa tu.
 
Back
Top Bottom