Sasa kiherehere cha kuingia humu bila data cha nini?
acha tarifa za muuza kahawa
Sasa kiherehere cha kuingia humu bila data cha nini?
MKANDARA
IKITOKEA UNAUMWA MOYO NA NCHIMBI AKAJA NA CHETI FEKI CHA UDAKTARI AKATAKA AKUFANYIE OPARESHENI UTAKUBALI?
AKIJA KAMALA NA LESENI YA URUBANI AMBAYO NI FEKI AKASEMA ANATAKA KUPAKIA ABIRIA UTAKUBALI? KUWA NI KIONGOZI NI ACCOUNTABILITY TUMOENA BUNGE LA UINGEREZA WABUNGE WAKIJIUZULU KWA KUTUMIA POUNDS TANO-SAWA NA ELFU KUMI ZA TANZANIA.NAGU ANATUWAKILISHA MIKUTANO MINGAPI YA BIASHARA KAMA WAZIRI MWENYE PHD? KINA KOMBA WAMEKOSA UWAZIRI KWA VILE ELIMU YAO INAONEKANA NDOGO. HAWA WENYE PHD FEKI HAKUNA HATA MMOJA ASIYE WAZIRI.WAMEDANGANYA WAFUKUZWE KAMA NI JAMAA ZAO SORRY.WEWE UKO CANADA UNASHINDWA KUJUA NINI MAANA YA KUWAJIBIKA
Ukimtisha hivyo harudi tena!!!
"Si kila kitu tukimbilie kumlaumu rais, ebu tuwe objective tuache sheria ichukuwe mkondo wake kuangalia nani kafanya kosa na nani alishiriki kwa kuelewa ufeki huo na akaukumbatia,maana athari za kukumbatia makosa haya ni makubwa katika Taifa".
hao mafisadi wa elimu mbona wanafahamika siku nyingi na wameshasemwa sana lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. Kuna mwingine moses warioba alifoji phd, akapewa hadi uprofesa na ukuu wa chuo mzumbe kwa cheti cha kughushi, na amekula bata kwa kwenda mbele hadi amestaafu, kudadadeki! Nchi hii bwana! Kama kuna maprofesa wa kughushi katika vyuo vikuu, unategemea nini katika sehemu nyingine?
Nafikiri hii nchi inahitaji jitu kama benito mussolini au adolf hitler.