Mawaziri wawili wenywe kuongoza wizara moja

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.
 
ofisi ya waziri mkuu ina mawaziri wengi sana wengine wapunguzwe...na kwa rais pia...unasikia waziri wa nch ofisi ya raisi utawala mara waziri wa nch ofisi ya waziri mkuu sijui ni ninii niii aah kupoteza helal tuu
 
...ni kati ya zile ajira zilizoaidiwa.
Mbona hushangai nchi moja kuwa na marais 5!
 
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.

Mkuu Shein siyo waziri ila ni mjumbe wa baraza la mawaziri kwa cheo chake cha Rais wa Zanzibar. Anaingi kwenye mikutano ya baraza la mawaziri kama ex officio! Wazanzibar hawalipendi hili manake kwa cheo chake cha urais enzi hizo alitakiwa awe makamo wa Rais lakini baada ya ujio wa vyama vingi katiba ikabadilishwa na kuuondoa huo umakamo ikalet mgombea mwenza na Rais kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri. Uwaziri usio na wizar maalumu ulikuwepo mwingi tu hasa enzi za nyerere. Nakumbuka Kingunge na Kawawa waliwahi kuwa mawaziri wasio na wizara maalumu.
 
ofisi ya waziri mkuu ina mawaziri wengi sana wengine wapunguzwe...na kwa rais pia...unasikia waziri wa nch ofisi ya raisi utawala mara waziri wa nch ofisi ya waziri mkuu sijui ni ninii niii aah kupoteza helal tuu

takrima
 
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.
Hakuna wizara kwa mawaziri wasio kuwa na wizara maalum. Nadhani wanakuwa na dereva na sekretari tu. Hawana muundo wa utumishi wa kiwizara mf kuwa na katibu mkuu na kuwasilisha budget. Kimsingi ni watu ambao Rais angependa wawepo kwenye baraza la mawaziri kutoa ushauri.
 
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.

Hii haipo sawa! Mh Shein kwa nafasi yake anaingia baraza la mawaziri la Muungano! Sio waziri

asiyekuwa na wizara maalumu. Pengine ungefafanua otherwise this is defamation
 
Back
Top Bottom