Mawaziri watakaotoswa na JK kuasi chama

6.jpg


Hawa magamba wanachekesha kweli, ina maana wanawambia nani waondoke? na waende wapi hao magamba, asiye gamba ataenda chama kingine na nyie magamba mtabaki peke yenu na mtabaki wachache!!!!!!!!!!!!!!
 
hao watu sio makini na hawafai, kwanini hawakukataa kutumiwa na hao VIGOO kwa maslahi ya Taifa, wakaanzishe chama chao cha wezi :yo:
 
Back
Top Bottom