The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,842
Marekani na Uingereza zina watu wangapi? Wangapi kati yao wanaongoza? I thought the decision of being in the team is based on compatibility. If you think you are not compatible with his style of leadership why continue working with him? Waafrika wanafiki sana. Tunaponeema hata kama ni kwa hila tunatetea hata kitu haramu. Pale tunapobanwa na wengine kupewa nafasi, basi tunageuka wàandishi na analyst wazuri kwenye mitandao. Tanzania lazima ibadilike....ikibidi aitwe dictator kwa nia njema.na owe hivyo. ..
Hatakuwa mtu wa kwanza anyway
Theodore Roosevelt wakati anawachinjia baharini Standard Oil ili kuondoa monopoly walimuita hivyo hivyo ila aliibadili Marekani. Itakuwa JPM? Nikipata nafasi ya kumwambia ntamwambia aendelee kukaza kamba ili tuanze kutumia vichwa kutumia fursa zilizopo na sio kuiba kwa mlengo wa kuwa mwanasiasa wa chama tawala
Marekani watu hawaruhusiwi kulalamika?
Marekani Rais anaweza kuunda vyombo vya siri kuwarekodi watumishi kisa wanalalamika?
hivi unajua hata why Nixon alijiuzulu?
usijeongea vitu hata wewe huvijui humu ukafikiri kila mtu hajui