Mawaziri Wasukuma

Basi huo unyambo una usukuma ndani yake.... manake jamaa hilo jina tu lina maana yake kisukuma... na jamaa anakibonga balaa kisukuma

Magufuli ni msukuma kabisa wala si wakutafuta!! Wanyambo asili yao ni huko Rulenge Ngara!!
 
Hivi huwa najiuliza kwa nini mawaziri wasukuma wanakuwa waadilifu kwenye kazi zao wakitumikia serikali ipasavyo na kusahau majimbo yao?
Kwa nini hawatumii nafasi yao kuleta maendeleo majimboni? Utaona kama waziri Ngeleja yupo nishati na madini lakini miaka mitano ishapita kule kwao sengerema hata kusogeza umeme kidogo vijijini ameshindwa? kuna miji inakuwa sana kule mfano kutoka sengerema kuna nyehunge, nzela .katwe , kahunda kwa nini mawaziri wameshindwa kupeleka umeme kule wakati miji imepanuka imekuwa mikubwa kuliko hata sengerema mjini yenyewe?
Nilienda kikazi huko nilishangaa kama mbunge wao ni waziri wa nishati na madini. na ni hivyohivyo kwa hata aliyepita. hawaoni wenzao wa kilimanjaro umeme mpaka vijijini?
kwa kweli wana JF naomba kuwakilisha mada
Ni kwasababu sio wakabila na hawana upendeleo,
P
 
Back
Top Bottom