Mawaziri Wasomi wamuige Asha Migiro

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,377
3,825
Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amerudi rasmi nchini na kuahidi kwenda kuripoti Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Maprofesa kama Magemde waige mfano wa Rose ili waepuke kuaibishwa bungeni. Hawa wasomi wanahitajika sana kutoa utaalamu wao na sio siasa uchwara tu kwa kutaka pesa.
 
Nini kimemleta kabla ya muda mkuu.
 
Machiavellian politics. Mark my word she would be plucked out of academia into political limelight sooner or later.
 
Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa amerudi rasmi nchini na kuahidi kwenda kuripoti Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Maprofesa kama Magemde waige mfano wa Rose ili waepuke kuaibishwa bungeni. Hawa wasomi wanahitajika sana kutoa utaalamu wao na sio siasa uchwara tu kwa kutaka pesa.

Kweli saa Nyingine hatufikirii humu kwenye JAMII FORUM; JUMANNE MAGEMBE hakuitengeneza hiyo BAJETI ya WIZARA

YA MAJI na ALIKUWA HATA HAIJUI kabadilishwa WIZARA wakati HIYO BAJETI IKO TAYARI AU INAKARIBIA KUMALIZIKA

WA KUMLAUMU ni KATIBU MKUU WA HIYO WIZARA; PILI JUMANNE MAGEMBE FANI YAKE YA UPROFESSOR SIO YA

MAJI HIYO SIO FANI YAKE; Tuanchane na haya mambo ya kusingizia na kuonyesha kuwa tunajua zaidi; Sisi ndio

Hapa tunaendesha SIASA UCHWARA

* FYI MIMI SIO SHABIKI WA CCM; NA KWANINI WAMUIGE ASHA ROSE? KUNA WASOMI BORA ZAIDI YA ASHA ROSE
 
Back
Top Bottom