Mawaziri waghushi vyeti

Attention span ya Wabongo ilikuwa fupi mwaka 47 siyo mwaka 2009. Huyu na Wahusika wote wamekaliwa na Wabongo kooni kwa hizo masters degree na Phd wasizostahili.

Basically, ceiling in this generation people needs to be very SMART, right from leadership, business, conmanship, etc. This is a message to fellow masters holders, we should demonstrate our credentials not just certification
 
Ministers: We`re confident of our PhDs

2009-03-09 11:07:18
By Joyce Kisaka

Cabinet ministers accused of holding academic qualifications, including philosophy degrees (PhDs) from foreign universities that are not internationally recognised, have said they are confident of their education, and will not succumb to pressure from any quarters saying at the institution he studied students spend more time outdoor doing course work.

Kamala said distance learning was not a new thing, adding that he was currently pursuing another doctorate degree at the Mzumbe University using the same mode.

Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo told `The Guardian` yesterday, the allegations were so strong that he has decided to write to the universities he obtained the academic qualifications from to communicate with TCU on the matter.

Mkulo said he took the action because he didn`t want to defend himself, but leave the issue to the respective educational institutions.

``I asked the universities to contact TCU to find out from the body, why they are not recognized,`` he said.

Mkulo declined to mention the university he obtained his qualifications from.

Efforts to reach the two remaining ministers, Dr Mary Nagu (Industries, Trade and Marketing) and Dr Emmanuel Nchimbi (Defence and National Service), failed yesterday.

According to the reports, some of the academic credentials are understood to have been obtained through correspondence between 1997 and 2005, and institutions which issued the qualifications include the Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University of Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University of India and Almeda University of US.

Information from various sources said there are more than 600 bogus universities around the world enrolling students using fake addresses and mostly transact online.

SOURCE: Guardian
 
Mzungu akienda sokoni bongo anajitahidi kuongea kiswahili ili azoee

na mtanzania uk ajitahidi kuongea kiingereza ili azoee
 
WEWE FUTURE - TANZANIA SOMA HII STATEMENT VIZURI NA UIELEWE NA SIO UNATAKA KUBISHA TU. "Ukimaliza phD unatarajiwa uwe master katika eneo ulilosomea". HII NI UKWELI KABISA. Hajamaanisha uwe na master but uwe mtaalam wa kitu ulichosomea.

FROM FUTURE TANZANIA - As it seems you know very little knowledge about this and yet you comment based on the garbage you have been feed up on the street! Maybe let me be kind and make it easier for you ‘It is not necessary to have masters degree to do PhD’.
ITS NO GARBAGE, STOP JUMP INTO KEYBOARD BEFORE YOU READ AND UNDERSTAND WHAT HAS BEEN WRITTEN
 
Hatutaweza hata siku moja kuendelea iwapo, viongozi ambao wanahitajika kufanya maamuzi yenye ufahamu, wanafoji elimu yao. Si haba sasa makosa mengi ya kimaadili na kiutendaji yanaonekana: hawana elimu sahihi, na bora, wanapewa madaraka makubwa yanayohitaji maamuzi mazito yabebwayo na ufahamu uliopevuka ukajaziwa na elimu bora, watatoa maamuzi sahihi kweli....

Kikwete hili nalo likipita, tunajua hapo ulienda kutembea tu....
 
Hii nchi inalaana au imepigwa lana hawa watu wamebuni hivyo vyeti kwa kulijuwa hilo halafu huku wanambiwa eti wende wakasome tena katika vyuo vyenyekutambulana kimataifa ,hivi kweli tutaendelea sie ?
 
Kitu kinachoashiria kuwa bado wengi wetu hatuna ufahamu wa kutofautisha kati ya fake na kusoma unaccredited universities.

Ukienda unaccredited nako kuna mabishano, nani anaamua kuwa chuo fulani ni bora na fulani sio bora!

Maoni mengi hapa yanaashiria jamaa wamefoji vyeti kitu ambacho si kweli.
 
Aibu hii mpaka lini? Maamuzi yote waliyowahi fanya sasa mashakani. Kamati zote walizowahishiriki matatani. lazima walipe aibu hii kwa watanzania.

Poor thing.........Very regrettable indeed
 
Mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa feki watajwa
3355686.jpg

Monday, October 19, 2009 2:18 PM
ZAIDI ya mawaziri wanne wa serikali ya awamu ya nne ambao wameghushi vyeti kujinyakulia madaraka na vyeo hivyo wameorodheshwa.Majina hayo yanayozidi 15 yamekabidhiwa kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, wakiwemo mawaziri, wakuu wa mikoa na wabunge, wanaodaiwa kughushi vyeti vya taaluma zao.

Hatua ya kukabidhiwa kwa orodha hiyo imekuja baada ya Utafiti huru uliofanywa na Mwanaharakati, Kainerugaba Msemakweli kwa msaada wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), katika kipindi cha mwaka mmoja.

Katika utafiti huo umebaini kuwa wanasiasa hao wametumia vyeti vya kughushi na kuwasilisha katika ofisi za umma kwamba wana elimu hiyo kitu ambacho si kweli na kujinyakulia mamlaka hayo isivyo halali.

Utafiti huo ulianza kufanyika tangu Juni 25, mwaka jana hadi na kukamilika Oktoba 9, mwaka huu, katika nchi za Marekani, India na Uingereza, ambako vigogo hao wanadaiwa kuwa walisoma na kupata shahada hizo.

Utafiti huo Baada ya kubaini kwamba hawana sifa za elimu wanazodai kwenye wasifu wa elimu zai, ripoti hiyo imekabidhiwa kwa Ofisi ya Spika wa Bunge.

Miongoni mwa vigogo waliotajwa katika orodha hiyo ni wale waliowahi kutajwa kusoma katika vyuo vya elimu ya juu nje ya nchi ambavyo havitambuliki.

Katika orodha hiyo, wamo mawaziri watatu akiwemo Waziri mmoja mwanamke kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini na manaibu waziri watatu wa wizara nyeti nchini ambao wana hadhi ya udaktari na waziri mmoja anayeongoza wizara muhimu sana nchini.

Pia yumo mkuu wa mkoa ambaye ni mbunge wa jimbo moja kutoka mikoa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Katika orodha hiyo, wamo pia wabunge watatu machachari wenye hadhi ya udaktari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Kaskazini.

Viongozi waliotajwa kwenye orodha hiyo, walikabidhi taarifa za uongo na za kughushi kuhusu taaluma zao, kitendo ambacho ni ufisadi wa elimu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo viongozi walioghushi vyeti vya elimu yao wanapaswa kuchukuliwa hatua ili kurejesha taifa katika maadili yanayotakiwa.

Alitaja adhabu ambazo watuhumiwa hao wanaweza kupata kama wanatiwa hatiani kuwa ni pamoja na kuhukumiwa kifungo kisichozidi miezi sita au kulipa faini ya sh 1,500,000 au vyote kwa pamoja.

Katika siku za hivi karibu, kumekuwa na mjadala wa kuhoji viwango vya elimu vya baadhi ya watendaji wa serikali ambapo baadhi yao wamefika hatua ya kulazimishwa waitwe kwa hadhi ya viwango vyao vya elimu wakati hawana sifa hizo.

Hata hivyo hii ni mara ya kwanza kwa wanaotuhumiwa kughushi viwango vya taalamu yao kutajwa hadharani na kupekelewa ushahidi katika ofisi ya spika.

Spika wa Bunge Sitta, jana hakuweza kupatikana kwa njia ya simu kuzungumzia jambo hilo ambalo ni dhahiri sasa litaibua upya mjadala wa viwango vya taaluma kwa baadhi ya watendaji nchini.
 
Hawa ndio wanaotusainia mikataba mibovu mibovu hawa. Kama mtu aliiba mitihani akiwa shule na kununua digrii, atashindwanje kuibia serikali fedha?

Kwa wanaowafahamu majina tunayaomba hapa JF tafadhari.
 
sawa Mkuu lakini kama wewe unapenda future yako iwe nzuri kwanini usome kwenye chuo kisicho na sifa?

Kwa mfano Dr. Nagu ni mtu mkubwa sana sasa na anatumia title ya Dr. lakini chuo alichosoma PhD ni ashington International University. Maelezo ya wikipedia yako wazi kwa jila mtu na yanasema hivi:-

Go to: http://www.parliament.go.tz/bunge/index.php and under who is who on
the right hand side click "More Members" and search for the above mentioned "personalities" and go into their profiles.

Go to: [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_unaccredited_institutions_of_higher_learning[/ame] and look for their respective "universities" and click on their links and go figure!!

One interesting thing about a certain MBA for a certain minister not mentioned above is below. And to think his signature is about to appear on our money..........absolutely cantankerous if you ask me!!!

"In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate's degree degree on behalf of his dog, Wally. On the application, Brancato listed "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally a "life experience" associate's degree in childhood development.[14] Almeda now claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."[15]"
 
Mnategemea kuna hatua zozote zitachukuliwa? Thubutu mambo mangapi yanafanywa makubwa zaidi ya haya na wahanga ni dagaa kila siku tunashuhudia mipapa ikitesa uraiani.
 
Mwingine ni Aziza Sleyum Ally Mbunge viti maalum mkoa wa Tabora ana cheti cha kidato cha nne! cha Al haramain wakati aliishia kidato cha pili na kupata mimba kisha kuolewana kuachika Tabora
 
sawa Mkuu lakini kama wewe unapenda future yako iwe nzuri kwanini usome kwenye chuo kisicho na sifa?

Kwa mfano Dr. Nagu ni mtu mkubwa sana sasa na anatumia title ya Dr. lakini chuo alichosoma PhD ni ashington International University. Maelezo ya wikipedia yako wazi kwa jila mtu na yanasema hivi:-

Go to: http://www.parliament.go.tz/bunge/index.php and under who is who on
the right hand side click "More Members" and search for the above mentioned "personalities" and go into their profiles.

Go to: [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_unaccredited_institutions_of_higher_learning[/ame] and look for their respective "universities" and click on their links and go figure!!

One interesting thing about a certain MBA for a certain minister not mentioned above is below. And to think his signature is about to appear on our money..........absolutely cantankerous if you ask me!!!

"In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate's degree degree on behalf of his dog, Wally. On the application, Brancato listed "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally a "life experience" associate's degree in childhood development.[14] Almeda now claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."[15]"
 
Re:Mawaziri wafoji vyeti.
Swala hili linatakiwa lijadiliwe kwa kina,kufoji na kusoma katika vyuo ambavyo havitambuliki ni vitu viwili tofauti, kufoji ni jinai, na kuhitimu katika vyuo visivyotambulika ni kupoteza hadhi tu ya kutokuwa mhitimu wa fani husika lakini hawezi kushitakiwa kwa jinai.
Pia serikali inahitaji kuongeza kasi ya kuhakiki vyeti husika vya watumishi wote haraka iwezekanavyo, na wasiokuwa na sifa waondolewe kwenye nafasi zao, ili wenye sifa waajiriwe, hili nalo litasaidia kutoa ajira kwa vijana wanye taaluma, ili Taifa lipate maendeleo kwa kutafsiri taaluma kwa vitendo.
 
"…………..From school tests to university exams to professional certifications, cheating reigns supreme across the globe. Interestingly, a study done in 2006 involving 5,331 students at 32 graduate schools in the United States and Canada found an alarming amount of cheating across disciplines, but more among the future business leaders. Fifty-six per cent of graduate business students admitted they had cheated at least once in the preceding year, compared with 47 per cent of non-business students.

The "more important and more discouraging" explanation the researchers heard from the students was that "they were just emulating the behaviour they see out in the business world." There, they said, "it does not matter how you get it done. The key thing is to get it done." Students cheat because success in exams, not knowledge, happens to be their target. This is the way the education system -regardless of its various orientations and manifestations - is designed and conducted in today's cut-throat world……"
Haya hii ni moja ya matokeo ya moja ya tafiti ikieleza kwa nini siku hizi kumekuwa na udnaganyifu mkubwa kwenye taaluma mashuleni na vyuoni. Kwa ujumla, udanganyifu katika mitihani nap engine kwenye taalumu unafanyika kwa kuwa katika dunia ya sasa wengi wana imani kuwa hoja si kujua ni jinsi gani umefanya ufanikiwe kufika hapo ulipo ila ni kuwepo pale ulipo yaani kwa njia yeyote ile hata kwa kuipa au kughushi vyeti.

Enzi za "Mwalimu" wakati elimu ilikuwa sio dili sana kuna familia zilikuwa radhi kuuza au kubadilishana kwa mali nafasi za watoto wao walifanya vizuri kwa watoto wanaotoka kwenye familia zenye uwezo watu walikuwa …..kipindi kile ilikuwa rahisi kukuta mtu anatumia jina ambalo si lake. Mabadiliko ya sayansi yameban mkongo huo sasa ni vingumu lakini bado watu wanatumia vyet vya kugushi na vinawafikisha mpaka sehemu ambayo kwa akili zao wasingeweza kufika ndi kama hivi sasa. Ebu tujiulize hali ya sasa ya elimu ambapo kila kukicha kuna wizi wa mitihani na bado shule za awali, upili na vyuo vikuu vinaendelea kuibuka kama uyoga ……… matokeo ya elimu yetu kwa siku zao usoni ni nini??????Sijambo la kulingania kwa jicho moja, ebu fikiria hali ambayo karibu kila taasisi iliyokuwa inatoa mafunzo ya kawaida hata ya elimu ya watu wazima inataka kuwa chuo kikuu……tunakwenda wapi??????..Hivi vyuo vyote vinavyoanzishwa vinastahili kuwepo kama vigezo vya kimataifa vingezingatiwa?????.....Ni umefika wakati ambao mtu akimaliza shahada yake ya kwanza ataweza kuajiria kufundisha chuo hata kama halibahatisha tu …….na hapo ndo unakuta Wakufunzi wa vyuo vikuu wanatumia notisi zao walipokuwa chuoni kuwafundihshia wanafunzi badala ya kuandaa notisi zenye kuendana na mitaala inayokubalika.
Sio siri, vipo vyuo kusini mwa Sahara (tunavihifadhi) suala la kupata cheti hata cha Udaktari wa falsafa (Phd) ni majadiliano tu. Unawulizwa wataka kusoma miaka mingapi au siku ngapi, utachagua mwenywe na wao wapo kibiashara zaidi kuliko ubora wa taaluma kwani ada utakayolipa kidogo kigogo kwa miaka mitatu au mitano sio faida kama ulikipa yote na kupewa chet siku inayofuta …..hiyo ni nafuu na faida kwao inapunguza gharama za uendeshaji!.
Wengine tunajiuliza ni mara ngapi Serikali yetu imefuatilia kujua hata wale wanaopelekwa kusoma pengine nje ya nchi kwa fedha za walipa kodi wamerejea na nini?????tunasikia Serikalini ukienda kusoma ukirudi hakuna kufuatiliana kama umehitimu sawasawa au lah ….sijui!......... "HIVI KATIKA HALI HII TUNAWEZA KUWA NA VIONGOZI WANAO FAA????????????? KAMA WEWE ULIGHUSHI CHETI UNAWEZA KUMHIMIZA ALIYE CHINI YAKO AU MWANAO ASOME NA KUFAULU?????????.
Inapotokea kiongozi kapata nafasi kwa kughushi, si rahisi kwake kubadilisha mfumo kwani siku zote "aliyezaliwa wakati wa dhambi, katu hawezi kuacha au kukemea dhambi atakapoishi na watenda dhambi"……..
 
Back
Top Bottom