Mawaziri waanza kuumbuana mchana kweupe!

Mkuu nliishawahi kuzungumzia haya. Mikataba unaingia kabla ya kuanza kazi ili ujue gharama halisi za mradi. Hauanzi kujenga mradi kama huu bila kuhakikishiwa KIMAANDISHI kuwa utapatiwa huduma. Inawezekana kabisa kuwa hayo mashirika kwa wakati huo watakuwa hawana uwezo wa kukupatia hizo huduma. Ukiona hivi, unaangalia njia mbadala. Kwa bahati mbaya technocrats badala ya kufanya kazi kitaaluma wamegeuka wanasiasa.
TCC wanamkataba na Tanesco ataipata. Ndiyo management inavyotakiwa. Si kutafuta visingizio. Nadhani Mkuu angeweza kuwa more effective kama angeita press conference na kutoa lawama zake badala ya kutumia platform ya siasa. Wengine (nakiri sio wengi) tukiona hivyo tunastuka!

Yaani hayo MAANDISHI Tanzania hayaheshimiki na wala hayamshtui mtu, ni lazima uwe nayo ofcourse maana usipokuwa nayo kisheria unakuwa hauna base yoyote. Lakini Tanzania ukitaka mambo yako yawe safi unatakiwa mambo unayapigia debe vile vile hata kama unayo kimaandishi, maana watu wajibu wao hawataki kuutimiza.

Tanzania unaweza ukapewa Scholarship kila kitu mikataba halafu ukienda shule jamaa hizo hela za scholarship hawakupi wala nini, Tanzania unaweza ukawa muajiriwa wa serikali unafundisha shule sijui wapi huko na mishahara usipewe wala nini, Tanzania unaweza ukapanga mipango yako sijui unataka kwenda kuhiji huko Macca jamaa ukaingia nao mkataba kimaandishi na Fwedha taslimu ukawapa na wala wasikusafirishe kwenda macca, watakwambia ooh ndege hatuna, Yaani tanzania ni nchi ya ajabu sana wakati mwingine unakuwa na mkataba wa kupata umeme jamaa hawakuletei na kana kwamba hiyo haitoshi watakuletea bili na kukulazimisha ulipe wakati wewe umeme hujawahi kuona, yaani nyie acheni tu, mwacheni jamaa awapashe.
 
Sasa hapo ndipo niliposema kama kuna mikataba na Magufuli haisemi, anaongea kama anaongea kisiasa tu and he is guilty of not only not using the right channels, but also of underreporting the problem.

Kama kuna mikataba kwa nini asiwaburuze kortini?
 
Hapa kawasema tu, tena mbele yao, siyo kuwasemea pembeni, mishipa ya shingo isha watoka watu kwa kumshupalia kwamba kawaaibisha, 'mara collective destruction of our lovely Tanzania' make siyo responsibility hii ni total destruction (lol).. ingekuwa amewaburuza kotini si ndo wangemkolimba mchana kweupe??

Wacha amkome nyani.. Bravo Magufuri keep it up!
 
Sasa hapo ndipo niliposema kama kuna mikataba na Magufuli haisemi, anaongea kama anaongea kisiasa tu and he is guilty of not only not using the right channels, but also of underreporting the problem.

Kama kuna mikataba kwa nini asiwaburuze kortini?

hayo mafisadi kortini kule hayasikilizi wala hayaheshimu,acha hapo hapo kwenye public court labda yatafanya kazi,na JK angemaliza kesi pale pale kwa kuwapa nafasi wajibu hapo hapo kuliko kusema kaeni kutafuta suluhu.
 
Aaah! Koba; hapo Muungwana angekuwa amefanya la maana, na heshima ingemrudia tena. Angewapa uwanja hapo hapo wayamalize.
 
Bravo Magufuli.

Kila mtu anajua hiyo mbinu si nzuri lakini ni miaka zaidi ya 40 toka uhuru na bado hatujafika kwa kutumia hizo njia zilizobora km wengine wanavyodai.

Hata hivyo kwa TZ njia ya Magufuli ni bora kwani haina gharama sana na matokeo yake ni mazuri na ya haraka.
Kila mtu anajua mwawaziri/viongozi wa TZ hawana mawasiliano yenye ufanisi na ndio maana tupo tulipo, na hii ni culture iliyojengwa na viongozi wa CCM tokea enzi za JKN.

Magufuli akiweza kuibomoa hio culture kwa kutumia njia yeyote atakua mshindi.
 
Hapana, sidhani kama walilumbana, mkuu. Kinyume cha hapo, ina maana Magufuli asingeelezea matatizo ya mradi wake. Hii tabia ni ya kuficha ficha matatizo na kujifanya kila kitu shwari. Ni usiri usio na tija hata kidogo. INgewasaidia nini hasa wapiga kura kama angefanya collective responsibility pale? Siamini kama kabla ya hapo hawakukutana na Magufuli kujadili tatizo hilo.

Juzi tu JK kamtoa nishai Magufuli juu ya msamaha wa kodi aliouomba ili HNC ipunguze gharama za ujenzi...kamshushua mble ya hadhara kwamba haiwezekani. That was ok, and nobody complained juu ya collective responsibility!

Kuna utamaduni ambao hauna maana sasa ambapo maendeleo yamechelwa na inabidi kukumbia wakti wenzetu wanatembea.[/QUOT

Uko very sahihi ndg yangu; He was right to stress out the whole issue infront of President hata kama JK hakupendezwa(ingawaje sidhani kama hili lilimchukiza) ama kuumbuliwa kama alipowaombea msamaha wa kodi kidogo NHC na kuzodolewa mbele ya wananchi,ni haki ya rais kutoa misimamo yake hadharani lakini pia hata NHC walibaini kuwa waziri wao alijitahidi kuwajengea mazingira ya kuwanusuru lakini bahati haikuwa yao.

Any msg either it is positive/negative ni vema ikawafikia walengwa moja kwa moja ili waipate taste yake mapema iwe kwa machungu au matamu yake -Msg delivered
 
Well said Pundit.Kwanza Magufuli ni mtu ambaye hajiamini katika baraza hili la mawaziri na kama kaaida ya mtu wa aina hiyo naona kuapo kwake pale ni lazima ajipendekeze kwa Jk hasa wakati huu ambapo baraza la mawaziri huenda likafanyiwa reshuffle.Ni mtu ambaye tangu enzi ya Mkapa alikuwa akitumia mdomo wake kujipendeleza na kuwachongea wenzake ndani ya cabnet.Alimtolea nje Pro.Mwandosya katika suala la boti za mwendo wa haraka katika ziwa Victoria na sasa hakuna mwekezaji alye na hamu tena na suala la boti speed boat.
watu design hii hujificha kwenye kivuli cha shutuma kwa wenzao ili waonekani machoni pa wananchi kuwa wwao ni malaika na wengine ni shetani.
Kwa kuwa JK naye ni mpimaji wa mambo ni vema akaliamgalia suala la Magufuli kwani anaweza kuleta makubawa zaidi kuliko haya.
huyu bwana mkubwa hakuwa na njia nyingine ya kutoa dukuduku lake?
 
huyu bwana mkubwa hakuwa na njia nyingine ya kutoa dukuduku lake?

Kwani hii njia aliyo itumia nayo si ni njia mojawapo?? au unataka ile ile tuliyo izoea iliyo tufikisha tulipo??

Bravo Magufuri mkome nyani mpaka kieleweke!

Hayo Maboti unayo sema aliyazuia, he had a point by the way!, kwanza ni mabovu hayafai kabisa kwa ajili ya usalama wa watu na mali zao.. yako wapi sasa?? si yameisha kuwa kaputi!

na ndo maana walikuwa wanaogopa kuya dismantle kwani walijua wazi ni mazee/yamekongoroka, wakiyafungua ndo mwisho.. kitu ambacho tunakishuhudia sasa!!
 
It seems that this cabinet lacks cohesion, vision and direction.

Two ministers differ over proposed hotel project

By Patty Magubira, Mwanza, and Mkinga Mkinga, Dar

Two senior Cabinet ministers have given conflicting statements on the controversial $20 million (Sh24 billion) hotel project at the site of the historical Nyamagana Stadium in Mwanza.

While Lands, Housing and Human Settlements minister John Magufuli told The Citizen yesterday that he had never consented to the stadium being used for purposes other than those it was intended for, his Regional Administration and Local Governments colleague, Mr Mizengo Pinda, said he had no objection to the decision to build a five-star hotel and shopping mall at the site.

Said Mr Magufuli: "I haven't done anything...just ask Mwanza City Council to give you more details on what is happening there.

"Don't force me to say something I don't like to say...I don't like to discuss the issue."

In September last year, Mr Magufuli blocked the Mwanza City Council from selling the stadium to a local investor, describing the plan as ill-conceived, and aimed at grabbing public land under the guise of investment.

He said the stadium would be demolished only over his dead body.

Mr Magufuli said he would rather have the stadium serve as a museum, training ground for members of the People's Militia (mgambo) or business site for small-scale traders.

He reminded Mwanza City authorities that the stadium was a historical site where many people were killed during the colonial era.

Bodies recovered from the sunken MV Bukoba were also taken to the stadium for identification in 1995. About 1,000 people died in the tragedy.

Contacted for comment, Mr Pinda said, "Those who opposing the development of Nyamagana have no concrete grounds for doing so. The football stadium can be relocated anywhere in Mwanza City.

"I understand the concerns of Mr Magufuli, but I think Mwanza City Council is right...there isn't any wrongdoing here," he told The Citizen by telephone yesterday.

He said if the tendering procedure was followed as required by law, then Mwanza City Council should proceed with their plan to find a strategic investor who would build a five-star hotel and shopping mall on the two-acre plot.

Mr Pinda said the stadium was at the heart of Mwanza's central business district, adding that it was time its use changed to speed up development in the lakeside town.

Mwanza City Council last week gave the go-ahead for the construction of a multibillion-shilling hotel amid stiff opposition from the public.

The Citizen has established that city authorities have begun demolishing the stadium amid tight security after the project drew mixed reaction.

Mwanza City director Wilson Kabwe said the council was demolishing dilapidated parts of the stadium to avert accidents that could harm people who had flouted the council's ban on conducting business and other activities at the venue.

But reliable sources within the council said the stadium was being demolished to pave the way for a successful bidder.

"The Government has suddenly changed its mind and has decided that a private developer take over the stadium," one of the sources said on condition of anonymity.

The majority of councillors said during their last meeting�that pupils and students from seven learning institutions in the centre of Mwanza would be severely affected by the decision to change the purpose of the stadium, let alone to privatise it.

But Mayor Leonard Bihondo allayed the councillors' fears, saying the stadium could not be offered to a private investor in the near future because a lot of groundwork was yet to be done.

The groundwork in question included surveying of the stadium and provision of a title deed, said Mr Bihondo. �

Attempts to offer the stadium to private investors have failed several times following an outcry by various stakeholders, who maintain that he stadium should never be developed for purposes other than sports and recreational activities.

Most MPs in Mwanza Region are also opposed to plans to demolish the stadium and build a five-star hotel.

However, some legislators have asked the regional consultative committee to consider changing the use of the stadium despite Mr Magufuli's opposition.

Sumve MP Richard Ndassa said Mr Magufuli was misguided as the RCC meeting had the final say on the fate of the stadium.

The stadium should not continue to be used solely for sports while Mwanza Region was in dire need of hotels, he said.

"Some Great Lakes Region conferences were supposed to be held here, but Mwanza could not host the meetings owing to lack of hotels. It is a shame for any Tanzanian to suggest that such conferences be held in the city," Mr Ndassa said.

But Mr Ndassa's remarks were strongly opposed by Nyamagana District Commissioner Peter Madaha.

"Hotels do not necessarily have to be situated in city centres. We have to think of allocating plots for big hotels in areas surrounding the city, including Misungwi," he said.

Col Madaha said during the RCC meeting held before the end of last year that the minister's consent was inevitable in the city's plans to develop land because he was the one who issued building permits.

Ukerewe MP Gertrude Mongella also strongly opposed the idea of turning Nyamagana Stadium into a five-star hotel, saying that a reliable investor should be given suitable land along the Lake Victoria shores to build a posh hotel.

"Stadium development and attraction of investors to fast-track development of the city are two separate things," she said.

With hardly two acres of space, Nyamagana could not accommodate good investment ideas, Ms Mongella said.

The National Social Security Fund (NSSF) was the first to apply for an opportunity to develop the stadium earlier this year, but lost out to a businessman of Indian decent.

In August, last year, Information, Culture and Deputy Sports minister Joel Bendera wrote a strongly worded letter to Mwanza Regional Commissioner James Msekela, asking him to ensure that no project was allowed at Nyamagana Stadium as proposed by the city council.
�
The letter dated August 22, read in part: "Any plans to change the original use of the stadium should be revoked immediately because the stadium is one of the most important historical symbols of Mwanza City and the nation as well."
�
The Mwanza City Council had earlier proposed that a multibillion-shilling hotel and recreational centre be built at the Nyamagana Stadium site in a joint venture in which the Government and a strategic investor were to own 55 and 45 per cent shares, respectively. By Patty Magubira, Mwanza, and Mkinga Mkinga, Dar

The Mwanza City Council had earlier proposed that a multibillion-shilling hotel and recreational centre be built at the Nyamagana Stadium site in a joint venture in which the Government and a strategic investor were to own 55 and 45 per cent shares, respectively.
 
A wise man once told me, if you have seven children and you always have one having trouble with the others most probably the problem lies with the one having problems with others frequently.

Mimi naamini haya mambo wangeachiwa local government huko Mwanza pamoja na the Mwanza population.Sasa kama wao hawana tatizo Magufuli ana tatizo gani?

Of course there is always the possibility ya kwamba watu wa Mwanza hawataki hoteli na investors wameshawalainisha wazee wa local government Mwanza.In this case Magufuli would be talking for the people, but is he? What basis is he using? Hizo sababu alizozitaja hapo juu ziko very weak.

Au ni kiburi cha kujifanya yeye ndiye yeye tu na Mremaism ninayoisema kila siku hapa?
 
Wataalam wako wapi? Mbonawanaongea wanasiasa tu?
Hicho kiwanja ni mali ya nani? Je kimeorodheshwa Idara ya Mambo ya Kale kama jengo linastahili kulindwa?
 
Yaani hayo MAANDISHI Tanzania hayaheshimiki na wala hayamshtui mtu, ni lazima uwe nayo ofcourse maana usipokuwa nayo kisheria unakuwa hauna base yoyote. Lakini Tanzania ukitaka mambo yako yawe safi unatakiwa mambo unayapigia debe vile vile hata kama unayo kimaandishi, maana watu wajibu wao hawataki kuutimiza.

Tanzania unaweza ukapewa Scholarship kila kitu mikataba halafu ukienda shule jamaa hizo hela za scholarship hawakupi wala nini, Tanzania unaweza ukawa muajiriwa wa serikali unafundisha shule sijui wapi huko na mishahara usipewe wala nini, Tanzania unaweza ukapanga mipango yako sijui unataka kwenda kuhiji huko Macca jamaa ukaingia nao mkataba kimaandishi na Fwedha taslimu ukawapa na wala wasikusafirishe kwenda macca, watakwambia ooh ndege hatuna, Yaani tanzania ni nchi ya ajabu sana wakati mwingine unakuwa na mkataba wa kupata umeme jamaa hawakuletei na kana kwamba hiyo haitoshi watakuletea bili na kukulazimisha ulipe wakati wewe umeme hujawahi kuona, yaani nyie acheni tu, mwacheni jamaa awapashe.

Ok kakangu sifanyi mzaha ila umenipa kicheko cha kuvunja mbavu....hehehehe kunaitwa Bongoland...yaan kila mtu na Ubongo wake na God for us all eti. Duh. Lakini wengine wakuu wanonaje jambo hili?
 
A wise man once told me, if you have seven children and you always have one having trouble with the others most probably the problem lies with the one having problems with others frequently...

Ninasikitika kusema kwamba the wise man you are talking about must be a Tanzanian or wise man for Tanzanian standards, maana TZ ukiwa mchapa kazi lazima upate maadui, kwetu Bongo watu wengi, viongozi wengi ni wazembe sasa wewe kama si mzembe then the problem lies with you and you are frequently gonna have problems with the others.

Sasa pale Mwanza jamaa ambapo hakurupuki kugawa ardhi katika eneo nyeti to the so called investors basi lazima wengine wampinge, lakini angekurupuka na hata kupanda ndege chap chap na kwenda ku-sign mkataba wa kugawa ardhi nyeti kwa investor usingesikia tatizo lolote, hapo ungeona collective responsibility.

Wazee fanyeni uchunguzi, tuambieni directly faida gani tutapata, nani anataka kuwekeza, utaratibu gani utatumika kuigawa hiyo ardhi nyeti, Investor asipotimiza masharti ya ku-invest tutamfanya nini, hatua gani atachukuliwa n.k. Lakini hivi hivi tu kukurupuka bila hata kujifunza kutokana na matatizo tuliyoyapata katika kugawa ardhi mbalimbali, tutakuwa tunarudi nyuma na kurudia makosa.
 
Mbona swali la Fundi halijibiwi? Wako wapi maofisa wa Jiji la Mwanza? Wapi wabunge wa Mwanza? Wapi Meya wa Mwanza? Kila kitu mawaziri? Mwishowe tutarudisha kuonana na rais kila mwezi Lumumba kama enzi za Mwinyi pamoja na kujipanga ofisini kwa Waziri (kama Mrema) kwa kesi za mirathi kama waziri ndiye mahakama.

Hivi vitu viko kwenye local government au havipo?
 
Yaani Tanzania hata kugawana majukumu tumeshindwa? tutaweza kweli kujikwamua? Yaani basi tu.
 
Magufuli awashtaki wenzake kwa JK

2007-12-08 09:07:03
Na Mashaka Mgeta, Chalinze

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Bw. John Magufuli, amewashtaki mawaziri wenzake kwa Rais Jakaya Kikwete, kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao.

Tukio hilo lilitokea jana, kabla ya Rais Kikwete, kuhutubia mkutano uliofanyika katika kijiji cha Bwilingi, Chalinze mkoani Pwani, ambapo alizindua nyumba za ghorofa, zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Mawaziri waliohusika katika kadhia hiyo, baada ya Bw. Magufuli `kuwaumbua` katika mkutano huo ni Bw. Andrew Chenge (Miundombinu) na Dk. Shukuru Kawambwa (Maji).

Bw. Magufuli, amefikia hatua hiyo siku chache, baada ya asasi ya Mpango wa Utafiti ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (REDET), kutoa taarifa ya utafiti ambayo pamoja na mambo mengine, ilionyesha kuwapo kwa idadi kubwa ya watu wasioridhishwa na utendaji kazi wa mawaziri.

Katika hafla ya jana, Bw. Magufuli, alianza kuishutumu Wizara ya Miundombinu, inayoongozwa na Bw. Chenge, kuwa imeshindwa kuboresha miundombinu inayoelekea katika maeneo yaliyotumika kwa ujenzi wa nyumba za NHC.

``Mheshimiwa Rais, Shirika la Nyumba la Taifa limejikuta linaingia gharama kubwa katika kuboresha miundombinu, iliyopaswa kushughulikiwa na wizara husika, lakini wameshindwa kutekelea wajibu wao huo,`` alisema.

Wakati akisema hayo, Bw. Chenge aliyehudhuria mkutano huo, alikuwa akimtazama Bw. Magufuli na baadaye kuelekeza macho yake kwa Rais Kikwete.

Bw. Magufuli, aliyeonekana kujiamini katika kutoa madai hayo, alitoa mfano wa miundombinu iliyogharamiwa na NHC, ni barabara, njia za maji na nguzo za umeme.

Aidha, alisema Wizara ya Maji inayoongozwa na Dk. Kawambwa, ambaye pia alikuwapo mkutanoni hapo, imeshindwa kufikisha huduma ya maji katika maeneo yenye nyumba hizo.

Bw. Magufuli, alitoa mfano kuwa, NHC ilitumia zaidi ya Sh. bilioni 1.4 kugharamia miundombinu kuelekea katika nyumba 213 zilizopo Boko na zaidi ya Sh. milioni 451 kwa nyumba zilizopo Mbweni, jijini Dar es Salaam.

Pia alisema zaidi ya Sh. bilioni moja zilitumika kwa ujenzi wa barabara ya kuelekea katika nyumba za Boko, na Sh. milioni 84 zilitumika kununulia transfoma, nguzo na nyaya za umeme.

Bw. Magufuli, alisema licha ya Wizara ya Maji kushindwa kufikisha maji katika eneo hilo, DAWASCO imeanza kuwatoza wapangaji wake Ankara za matumizi ya maji.

``Ninasema kwa uwazi Mheshimiwa Rais, na mawaziri wenzangu wapo hapa, siwateti wala siwachongei kwako, ninachokisema ni ukweli mtupu,` alisema na kusababisha watu waliokuwapo kumshangilia.

Hata hivyo, Rais Kikwete, alisema tofauti zilizojitokeza miongoni mwa mawaziri hao, zinastahili kusuluhishwa kwa njia ya kukutana na kuzungumza.

Rais Kikwete, alisema ikiwa mawaziri hao watakutana na kuzungumza kwa undani kuhusu mgawanyo unaopaswa kufanywa kuhusiana na gharama hizo, kuna uwezekano wa kupata suluhu.

Aidha, Rais Kikwete, aliwataka viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, kuharakisha utekelezaji wa mpango wa kupima maeneo ya Chalinze, na sehemu nyingine wilayani humo, ili yawe kivutio kwa makazi bora na kuinua thamani ya ardhi yake.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Martin Madekwe, alisema majengo hayo yaligharimu Sh. 822,920,000, zilizotokana na mapato ya Shirika hilo.

Alisema wakati ujenzi wa nyumba hizo ukiendelea, NHC imepokea maombi 47 ya wapangaji, idadi ambayo ni mara tatu ya uwezo wa nyumba hizo.

SOURCE: Nipashe

The Gay tokea Kitambo amekuwa apimwambia Jamaa siri zote ndio maana anamuamini sana hadi kamzawadia cheo chake... Kama yale Maisha ya Machifu wazungu walipoondoka au Waarabu waliwaachia kila kitu hadi Utawala sasa hii ndio imetokea tena Tanzania...
 
Back
Top Bottom