Mawaziri wa zamani je?

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Kwa sasa wimbo ni awamu ya Maige na Ngeleja kuhusu ubadhirifu wa mali ya watanzania. Hivi walioondoshwa last time hakuna aliyehujumu zaidiya Yona na Mramba?
Akina Masha je???? hili ni wazo langu tu kwani naona hata Blandina Nyoni hakumbukwi tena. Tunataka tujue kama Takukuru inafatilia ama vipi.

Tusaidiane kuibua uovu
 
ndiyo tatizo letu wabongo, tunajadili leo na kesho, kkutwa linaibuka jingine tunasahau yote tunaanza tena upya, vyombo vyetu vya dola na media zetu hivyo hivyo, si uliona alivyoibuka babu wa Loliondo na kikombe chake? We bwana tanzania ni zaidi ya uijuavyo. Hatuna concentration, tunazidiwa hata na chui ama hata paka akiwa mawindoni kumnasa panya, anakuwa focused 100%. We really need to change
 
Back
Top Bottom