Mawaziri wa JK Noma - Ezekiel Mayige

Nadhani mkwele hakuwa na rafiki wa maana, team zake huwa ni mbovu saaana. Ebu angalia wale wachache ambao hata kuwabeba mara ya pili akashindwa akina Masha na Kamala, du vi phd vya uswazi. Unajua watu hawajui kuwa elimu ni kile kilichobaki kichwani sio vyeti ulivyobeba.

Mkuu,
kwa uliyoyaangalizia hapo kwenye red...KIUKWELI UMENIKUNA, ni ukweli usiopingika abadan.
 
Huyu Waziri si unajua wakipita katika mashirika yaliyo chini yao ni nini kinatokea?.yule alikuwa anafikiria mshiko tu,hapo alikuwa anahalalisha ulaji kwani ni mara yangapi sasa toka alipochaguliwa Waziri ametembelea Pori la swagaswaga hapo karibu tu na Dodoma.si halina mshiko huyu safari zake ni TANAPA na Ngorongoro akitoka si chini ya M4 - 5 hivi anakunjia mfukoni.hakuwa na cha kuongea ni porojo tu kwani vyote alishaongea safari zilizopita ,njaa zitatuua.
 
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi.
Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza Mayige, jamani kama vile anaongea na watu wasio na upeo, kuna kitu alisema nikawa interested kumsikiliza kuwa ugumu wa maisha wa mtanzania unasababishwa na vitu viwili vikubwa cha kwanza umeme, hakutaja cha pili akaonekana anaongea mambo mengine ambayo hata hakupanga yaani kama vile mtu anayeongea na watu ambao wamejiotokeza ghafla hakuwa na agenda wala nini. CV please.
shame.

Kwani Boss wake yuko connected siku hizi?

HUENDA KUNA KURITHISHANA TABIA MIONGONI MWAO.
 
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi.
Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza Mayige, jamani kama vile anaongea na watu wasio na upeo, kuna kitu alisema nikawa interested kumsikiliza kuwa ugumu wa maisha wa mtanzania unasababishwa na vitu viwili vikubwa cha kwanza umeme, hakutaja cha pili akaonekana anaongea mambo mengine ambayo hata hakupanga yaani kama vile mtu anayeongea na watu ambao wamejiotokeza ghafla hakuwa na agenda wala nini. CV please.

shame.

WANATUMIA MDOMO KULIKO AKILI NDIO SHIDA YA WATU WA CHAMA KILE CHA MAGWANDaS
 
If you want me to tell you who you are,tell me your friends.So if you want to know who is JK look his ministers
 
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi.
Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza Mayige, jamani kama vile anaongea na watu wasio na upeo, kuna kitu alisema nikawa interested kumsikiliza kuwa ugumu wa maisha wa mtanzania unasababishwa na vitu viwili vikubwa cha kwanza umeme, hakutaja cha pili akaonekana anaongea mambo mengine ambayo hata hakupanga yaani kama vile mtu anayeongea na watu ambao wamejiotokeza ghafla hakuwa na agenda wala nini. CV please.

shame.

Kumbe uliona eee! hata mimi nilifikili ni maskio yangu tu
 
Yaani kaka hayakuwa masikio ndio ukweli huo, hawa watu wanaongea bila kufikiria, wala kutumia akili hata zile kidogo walizo nazo. Kwa mtu mwenye akili ukichanganya kwenye mtililiko umemuacha maana wenye akili huwa wanataka kuchukua kila kitu, sasa filing system yako ikishakuwa mbaya hapo ataanza kujitahidi kukupangia by the time anastuka na wewe umemaliza kuongea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom