Mawaziri wa JK Noma - Ezekiel Mayige

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi.
Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza Mayige, jamani kama vile anaongea na watu wasio na upeo, kuna kitu alisema nikawa interested kumsikiliza kuwa ugumu wa maisha wa mtanzania unasababishwa na vitu viwili vikubwa cha kwanza umeme, hakutaja cha pili akaonekana anaongea mambo mengine ambayo hata hakupanga yaani kama vile mtu anayeongea na watu ambao wamejiotokeza ghafla hakuwa na agenda wala nini. CV please.

shame.
 
Kaka alikuwa anaongea vitu anavirudia hivyo hivyo alikuwa anaongea na watu wa TANAPA, my God ooh ! Nchi yetu imeingiliwa we need to be serious. Kama Mayige upo humu ebu angalia ulichokuwa unaongea kazi kubadirisha mikao tu na lakini mtu aki - evaluate ulichoongea haki add value kwa wale watu ukiwa kama waziri, ni vitu ambavyo wanavijua hukuja hata na strategy ya kuvitilia msisitizo.
 
uwii kwani mkuu ulikuwa hujui kuanzia mwenye nyumba mpaka vijakazi wake wote porojo...
 
uwii kwani mkuu ulikuwa hujui kuanzia mwenye nyumba mpaka vijakazi wake wote porojo...

Nadhani mkwele hakuwa na rafiki wa maana, team zake huwa ni mbovu saaana. Ebu angalia wale wachache ambao hata kuwabeba mara ya pili akashindwa akina Masha na Kamala, du vi phd vya uswazi. Unajua watu hawajui kuwa elimu ni kile kilichobaki kichwani sio vyeti ulivyobeba.
 
Vp yule mgombea mwenza wa slaa wa darasa la saba , hivi yuko wapi vile ?
 
kama kakosea acha watu waseme, mambo mengine sio ya kushindanishwa!
 
Nadhani mkwele hakuwa na rafiki wa maana, team zake huwa ni mbovu saaana. Ebu angalia wale wachache ambao hata kuwabeba mara ya pili akashindwa akina Masha na Kamala, du vi phd vya uswazi. Unajua watu hawajui kuwa elimu ni kile kilichobaki kichwani sio vyeti ulivyobeba.

Hata bungeni akiulizwa maswali hawi collected kabisa sijui ana tatizo gani. Kuna siku kaulizwa maswali mawili ya nyongeza kajibu moja less important na lile jingine la muhimu zaidi kalipotezea na akaendelea as if hakuna kilichotokea. I know ndege wenye mbawa za kufanana huruka pamoja lakini dah vingine vimezidi vinatudhalilisha sana wenye nchi kwa kweli. Hii yote ni hili li katiba hakuna vigezo vya kuteua viongozi, ukiwa mwanamtandao hata kama kichwa kibovu unapewa uwaziri kwa gharama ya walipa kodi-this is really bad!
 
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza kingine na harudi tena nyuma na huko nako anakoendelea nako hamalizi.
Kwa mfano jana nilikaa kumsikiliza Mayige, jamani kama vile anaongea na watu wasio na upeo, kuna kitu alisema nikawa interested kumsikiliza kuwa ugumu wa maisha wa mtanzania unasababishwa na vitu viwili vikubwa cha kwanza umeme, hakutaja cha pili akaonekana anaongea mambo mengine ambayo hata hakupanga yaani kama vile mtu anayeongea na watu ambao wamejiotokeza ghafla hakuwa na agenda wala nini. CV please.

shame.

CPA (T) - Ni Mhasibu by Professional
 
Ila tuende mbele na kurudi nyuma ukiondoa mapungufu yake mengine kiukweli kabisa jamaa anafanya kazi,kwa mbali sana anamkimbilia magufuri honest,kijana bado mdogo ana anaendelea kupata udhoefu
 
Hata bungeni akiulizwa maswali hawi collected kabisa sijui ana tatizo gani. Kuna siku kaulizwa maswali mawili ya nyongeza kajibu moja less important na lile jingine la muhimu zaidi kalipotezea na akaendelea as if hakuna kilichotokea. I know ndege wenye mbawa za kufanana huruka pamoja lakini dah vingine vimezidi vinatudhalilisha sana wenye nchi kwa kweli. Hii yote ni hili li katiba hakuna vigezo vya kuteua viongozi, ukiwa mwanamtandao hata kama kichwa kibovu unapewa uwaziri kwa gharama ya walipa kodi-this is really bad!

kwa sentence na maelezo yalipo hilo neno inatakiwa liwe Connected... siyo 'collected'
 
wenzetu wana public speaking trainings na tabia ya kujisomea vitabu sisi tuna tabia ya kukaa viti virefu au home tunaangalia ze komedi na kusoma ijumaa na uwazi

Maige ni reflection ya majority ya watanzania
 
kwa sentence na maelezo yalipo hilo neno inatakiwa liwe Connected... siyo 'collected'

Mheshimiwa Musembi heshima juu! Mimi nilimaanisha nilichoandika, kwa maneno mengine jamaa the way ninavyomuona mm hawi "calm" or "composed" utulivu unasumbua kiasi kamba kumuelewa inakuwa ngumu kidogo. Sasa kama kuwa calm(composed) ni sawa na kuwa "connected" its ok lakini mimi nadhani "collected" iko poa zaidi.
 
Hebu tujikumbushe,hii niliandika 2003 baada ya high school,

WHY I WRITE OF KAHAMA:

Why I write of Kahama;
Is because I write of it
On a paper with a pen
A pen that urinates ink
The ink that is immortal!

It is merely a district, we all know of it!
It is exponentially populated, we all guess of it!
It is a business town, we all accept it!
It is the fastest growing town, we all hear of it!
It is the town of dynamics, we all appreciate it!

But why I write of it?
Is it because we grow tobacco?
Or because of cotton and sunflower?
Or because we fatten the cattle for the Pugu market?
I do not write of Kahama to praise of it!
Not because there are three operating gold mines
One amongst the giant in Africa, The bulyanhulu!
And not because there are two mute M.Ps
Who are there to fill the house of the law-makers.
Not because the politeia has closed her eyes on it
Not because the embezzlement is rampant
And not because is my place of domicile
I do not write of it for that:

And not because mine workers are oppressed
By their indigenous black white-men
It is not because its people are ignorant on politics
Not because it regurgitates more than thirty passenger busses
And swallow thirty more per day;
It is not because fifteen containers of
Mineral soils are exported weekly to Canada
Understand me, I do not write of it for that:
Neither because there wasn't any government Sec:
For the whole region had only two.
Nor because there are tarmac less, unknown, shapeless roads
Not because they come, loot and go; the civil servants
Not because we use typhoid waters whilst the lake's are for them.
It is not because of that:
And not because its people are unaware of their rights,
I write of Kahama because I like to have a pen
And twist it on a piece of paper.

cc 02/2003

Similar Discussions

Back
Top Bottom