Mawaziri - Uwezo wao wa kujifunza ni mdogo

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Kila siku najaribu kufuatilia mazungumzo ya Bunge na hasa maswali na majibu. Jana waziri wa sayansi na teknolojia alishindwa kabisa kusoma majina ya wabunge wenzake waliochangia ktk bajeti yake. Majina mengine akayasoma kinyume na kuwa matusi.

Leo tena nimeona naibu waziri wa maji akishindwa kutamka neno calcium. Hii naiona kuwa ni uwezo mdogo wa kujifunza. Ni aibu kwamba waziri anakuja bungeni kabla hajapitia maandishi atakayo yasoma bungeni. Kama wangefanya hivyo lazima wangeuliza maneno yoote wasiyoyafahamu.

Hii ni ishara kwamba kweli kiwango cha elimu huko bungeni yabidi kipandishwe.
 
Majina mengine yanasumbua hii sio mada ya kujadili hapa kwani majina mengine yako kam kichina na
hivyo huweza kukutatanisha uanpokutana nalo 4 the first time
 
Back
Top Bottom