Mawaziri na wabunge waliofanya vibaya katika bunge la bajeti...

hapo kwa Shibuda umenikumbusha siku anambishia waziri kwamba badala ya posho aseme ujira wa wmiha!

SHIBUDA IS AFTER MONEY THATS WHY ALIVYOSHIDWA KWENYE KURA ZA MAONI AKAENDA CDM, NA HUKO CDM NDO ANAWAVRUGA MPAKA BAAAS

bila kumsahau yule mama wa viti maalumu wa Bariadi, aliyechangia wizara ya maji yaani lile ni bomuuuuuuuuuuuuu.... aliaibisha sijui kigezo gani kilimuweka pale! na amechangia mara moja upupu wake ule! utaratibu ubadilike wa kutoa posho, naona wapewe wale wanaoenda bungeni na kuchangia tu!

UNGESEMA WANAOCHANGIA UPUPU WANAPEWA ROBO TU WANAOLALA HAWAPEWI!! NDO WAKIKURUPUKA TU MARA ANASHIKILIA MSHAHARA WA WAZIRI KUMBE HOJA ILISHAPITISHWA !!LOOOL

ok, tumesha wajadili na majadiliano yanaendelea, mi nadhani kujadili tu haitoshi, naomba tujarubu kutoa mapendekezo tufanye nini ili hawa watu wafanye vizuri.

Mawaziri wote (ambao pia ni Wabunge), Wabunge wote hakuna aliyefanya vizuri. Wametanguliza UMEME na RELI kama masuala muhimu zaidi na yanayo hitaji fedha nyingi kwa sasa na kupewa umuhimu wa pekee kuliko ELIMU ya MSINGI na SEKONDARI za UMMA zilivyo hoi na ambazo zinawagusa WATANZANIA wote wa kawaida na elimu haina mbadala. Asilimia 15 tu ya WATANZANIA wananufaika na umeme tena wengi wa mijini. Asilimia 5 tu ya WATANZANIA wanasafiri kwa reli kwa mwaka. Shule zetu za MSINGI na SEKONDARI ziko hoi. Hakuna madarasa, hakuna madawati, hakuna walimu, hakuna vitabu, hakuna maabara, hakuna vyoo, hakuna nyumba za walimu,.....

Ngeleja,Sokwe,Kombani,Nundu,Lukuvi,!Kwanza wote ovyo kabisa,sina haja ya kuumiza akili yangu kuwaza majina yao!

Lukuvi, Mkullo, Wasira, Ngeleja...... hawajatufurahisha watanzania hata kidogo.

Wasira ana hasira sana na ameongoza kwa kulala,pia hawa ghasia kwenye suala la uwazi kwenye mishahara hajafanya vizuri
naomba ueleze udhaifu wa uongozi sio ushabiki, hivi wasira amelala mara ngapi? zitaje.
je do you think kuna waziri vigillant kama wasira?
fanya utafiti nijibu.

Acha upupu,kama kuna majembe niliyoyaona pale mjengoni Lema na Wenje ni kati ya majembe ya ukwel,mbona makinda+ccm walikoma!
HAO JAMAA HISTORIAQ INAONYESHA WAMEWAHI KUVUTA BANGI.
Lema anabwia mpaka leo na amewahi kuwa Master-key maker. fuatilia maisha yake tangu hapa arusha hadi s.afrika.
Wenje ni mvutaji live akiwa a-level mpaka saut.

Wabunge waliofanya vizuri. - CDM
1. John John Mnyika- W. kivuli
2. Ezekia Wenje – W. kivuli
3. Halima Mdee – W. Kivuli
4. Tundu Antipas Lissu – W.kivuli
5. Regia Mtema – W. kivuli
6. Leticia Nyerere
7. Vicent Nyerere – Big up
8. Kabwe Zitto – K. upinzani
9. Mbowe – K. Upinzani
10. Godbless Lema – W. kivuli
11. Mchungaji Msigwa – W. Kivuli
12. Mr. II – Sugu – W. Kivuli
13. Chiku Abwao
14. Rose Kamil S.
15. Mh. Kasulumbayi – Big up.
16. Highness Kiwia- Mzee wa Maandamano.
17. Prof. Kalikoyela Kayigi
Tukiacha ushabiki wa vyama wabunge walio oredheshwa hapo juu wametimiza wajibu wao kikamilifu kabisa bila upendeleo. Suala si nani kaongoza bali ni jinsi walivyosimama imara kutetea masilahi ya Wanyonge. Pamoja na uzee wake Mh. Kasulumbayi alisimama imara kutetea rasilimali za nchi. Bila kumsahau yule Mbunge wa viti maalumu Chadema Babati. Pamoja na wengine niliyowasahau wapiganaji wa chadema wamefanya vizuri sana. ISIPOKUWA – Shibuda huyu ni tatizo. Wabunge waliofanya vizuri- CCM
1. James Lembeli
2. January Makamba
3. Mbunge wa Muleba Kusini
4. Idd Azan Zungu
5. Ole sendeka
Hawa walifanya vizuri japokuwa walipokuwa wakiitwa kwenywe vikao wanakuja na mawazo tofauti. CCM inawabunge zaidi ya 250 hebu tathimini mwenyewe uone hiyo tofauti, wengine waliobaki michango yao ilikuwa ni kwa masilahi binafsi na kukumbatia mafisadi. Wabunge wa vyama vingine.
1. Kafulila – Big up
2. Machali- Big up
3. Mkosamali- Big up.
4. Mh. Viti maalum Kasulu –Big up

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom