Mawaziri na wabadhirifu wataendelea kupeta tu Tanzania ni kisiwa cha amani

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama kawaida.kikwete pinda na kiongozi mwingine yeyote ripoti hizi haziwagusi wala hayayawaumi wanaangalia masjahi yao nchi inaliwa haiwagusi wala kuwahuru.ama kweli tanzania ni kisiwa cha amani
 
Back
Top Bottom