Field Marshall ES,(KWANGU unabaki kuwa NI Mwalimu)
Ndio maana niliwauliza wakongwe wenzako humu kuwa Bunge linaisha lini?
Wamenijibu walivyoweza na ninashukuru ila niongeze kitu kingine " Sidhani kama Muungwana kwa sasa yuko radhi kuyumbisha uongozi wake kwa kumuondoa PM na ndio maana nachelea kusema kama tafanya mabadiliko ktk kipindi ambacho bunge limemaliza kikao basi ni wazi na dhahiri kuwa PM yuko salama.
Mungu awabariki nyote