Mawaziri 8 Wana Digriii bandia

VIGOGO wa Serikalini walio madarakani ambao walighushi shahada za degrii bandia wametakiwa kuachia nyadhifa hizo pia na kurudi shuleni.

Source: Nifahamishe.com


Mh. Mujuni2, ahsante kwa kutoa 'clarification' yako.. ila, ukipitia maneno ya Mh. maghembe, anasema wazi kabisa, kwamba ni BANDIA!! Hao ni WEZI!!! Kama si wezi, wangewapa ada watoto vyuoni, ili waje kuwa viongozi bora nchini kwetu!!
 
Hee!!maajabu ni haya wagushi vyeti halafu walipiwe karo??!! tena na fedha za wananchi??!! jamani, hawa watu!! wanafunzi wanaosoma wakitaka mkopo tu, ni matatizo, ni vurugu, ni kufukuzana vyuoni.. hao wagushaji wanabembelezwa?! hii mpaka lini?!! raia akienda kutafuta kazi, akachukua cheti cha kugusha, anafungwa..tena ni kesi kubwa.. je, hii ni haki ya binadamu?!
Nimeshangaa... wamegushi vyeti na bado wanabembelezwa huku wengine wamepewa deadline mpaka tarehe 15.
 
Back
Top Bottom