Mawaziri 7 wabunge 70 wa CCM kujiunga CHADEMA!

hao mawaziri na wabunge wanaotaka kuhamia chadema ni wanafiki...wanafanya hivyo sio kwa sababu wana mapenzi na chadema ila wanafanya hivyo kwa sababu ya maslahi yao binafsi. wanajua 2015 wakigombea ubunge kupitia ccm hawapiti ndio maana wanakimbilia chadema hawa watakiharibu chadema kwa sababu wote hawa wana damu ya ufisadi ndani yao. Sioni sababu ya kutoa chama cha ufisadi kwenye power na kuingiza kingine.:A S 13:
 
chadema wanatafuta Sifa mbinu yao hiyo ya kizee kabisa mwenye akili aambiwi tazama na kamwe mwenye akili timamu hawezi kuhamia chadema,,chadema wanahamia wenye akili mbovu za kushikiwa kwa kijana mwenye akili kamwe hawezi kwenda kwa wachaga
 
Hao wote ni "opportunists", wangekuwa na nia kweli ya kujiunga na CHADEMA wangeanza kwa kuunga mkono hoja ya Zitto.

Hao wabunge wa CCM huwa siwaamini hata kidogo. Waliitosa CCJ na Mpendazoe na mpaka leo hii bado wanakula bata ndani ya CCM. Jamaa wakishaona chama kinapoteza mwelekeo ndio wanaanza kusaka sehemu ya kwenda kutumia kama uchochoro wa kurudi Mjengoni, wakiona mambo poa wanatulia tuli.

Kama kweli wanataka kuhama, wanasubiri nini huko CCM. Watakaosubiri mpaka Bunge livunjwe hapo September 2015, au baada ya kutoswa kwenye kura za maoni, wanaweza kuja kuwa akina Shibuda. I hate mambo ya papo kwa papo na ndio wakati mwingine yanasababisha vurugu kwenye vyama vya siasa. Maana unaweza kuta kuna mwanachama amefanya kazi ya kukiimarisha chama, halafu anakuja mwingine from no where anapewa nomination ya bure.
You are so telepathic,yaani exactly my thought especially nominatition point!
 
Ni kweli kabisa,CDM hapa mnatakiwa kuwa makini,maana haya magamba yanaweza leta virusi kwenu
 
Kama si uongo Mbowe aseme ni kina nani hao, vinginevyo ni. Propaganda ya Chadema ambayo imezoeleka.
 
TUNAWAKARIBISHA LAKINI WASIWE WALE WANAOTUHUMIWA KWA UFISADI,
I mean
LOWASA
NGELEJA
CHAMI,
MAIGE
NA WALE WOTE WALIOFUKUZWA KAZI NA RAIS
 
Ina maana kilichosemwa hakiaminiki?..kila m2 anataka mageuzi ya kweli na huu upepo umeshakuwa dhoruba kali sana suti zote zinapepea hewani isipokuwa gwanda.
 
Si lazima kwa sasa kwani angewataja huenda wasingeapishwa kesho, pia huenda wanasubiri kuapishwa ili waiangushe CCM kwa kishindo.
 
wawe scanned na antivirus kabla ya kufikiriwa kukubaliwa,virusi vya magamba ni hatari visipokuwa scanned!


Kaka scanning inaweza ikawaacha na virus mwilini....dawa yao ni kuwakabidhisha kwa Dr. Silaa awaFORMAT KABISA.
 
chadema wanatafuta Sifa mbinu yao hiyo ya kizee kabisa mwenye akili aambiwi tazama na kamwe mwenye akili timamu hawezi kuhamia chadema,,chadema wanahamia wenye akili mbovu za kushikiwa kwa kijana mwenye akili kamwe hawezi kwenda kwa wachaga


Bado mpo mnaosema kuwa CHADEMA in ya KASKAZINI? Endeleeni kuota ndoto za mchana, siku tukichukua dola, sijui mtasema nini? Kweli nimeamini ukiwa GAMBA unakuwa kifofu wa fikra, akili hadi mtamo kwa sababu gamba ni zito...pole kaka....zama hizo zimepita zamani, hujasikia leo MAKAMBAKO...jana Morogoro......kesho ....mbeya....yale ya Songea juzi hukusika....endelea kuota mchana....
 
Nadhani hao MPs wanaogopa kunyakuliwa majimbo yao na Kikosi cha CDM 2015 sasa wanajihami na hizo tamaa zao za madaraka kutaka kuhamia CDM
 
Saa ya ukombozi ni sasa, wanakaribishwa... Usije kuta hata baba riziwani anataka kuamia cdm...
 
chadema wanatafuta Sifa mbinu yao hiyo ya kizee kabisa mwenye akili aambiwi tazama na kamwe mwenye akili timamu hawezi kuhamia chadema,,chadema wanahamia wenye akili mbovu za kushikiwa kwa kijana mwenye akili kamwe hawezi kwenda kwa wachaga

So in your small world you perpetuate your hatred of CDM to all Chaga's..You are no worse than the Nazi foot soldiers or the Rwandese Intarahamwe. Very few peace loving Tanzanians subscribe to your bigotry.
 
Back
Top Bottom