Mawasiliano

quty m

Member
May 20, 2011
18
2
unawez ukakaa kw mud mref bil y kuwasilian n mpenz wak?s dat lv o 2nadanganyan
 
inategeme na situatio yenye maan kun wengin hawanag michong hiyo ya kuwasilian wanaon kam miyeyush flan hiv au si
 
inategemea mwenzako yupo vipi.wengine wavivu wa mawasiliano.mimi kwa upande wangu,huwa nikipenda,nakuwa sichoki kuwasiliana na mpenzi wangu,na sichoki kuongea nae kila mara.nikisikia sauti yake tu,basi siku yangu huwa nzuri
 
Hili suala la mawasiliano ndio ugomvi wa mahusiano mengi... Siku za mwanzo mnapigiana simu zaidi ya hata mara sita kwa siku.... hakuna la msingi la kuongea zaidi ya yale maneno matamu ya kimapenzi.... issue inakuja mkizoeana... mwajikuta hamuwezi tena... Mwanzoni a guy anakupigia mara kwa mara.... with time inapungua na kua vice versa... inakua sasa Mdada/mmama ndo atapiga mara kwa mara...

Personally kuepusha such Pressures za baada ya mda kidogo nianze kua na wasi kua mapenzi yamepungua... naona kabisa it is better toka mwanzo wa mahusiano walau mpigiane simu mara mbili kwa siku i.e asubuhi na jioni but once in a while hata mchana... ili iwe rahisi kumaintain mpaka pale uhusiano unapokua mature... Sijui... Lakini najua waweza mpenda mtu na ukamfikiria kila saa... but mawasiliano ya mara mbili kwa siku yatosha kabisa... Labda na utu uzima wangu wachangia....
 
inategemea mwenzako yupo vipi.wengine wavivu wa mawasiliano.mimi kwa upande wangu,huwa nikipenda,nakuwa sichoki kuwasiliana na mpenzi wangu,na sichoki kuongea nae kila mara.nikisikia sauti yake tu,basi siku yangu huwa nzuri
Wengine tulifanya kama wewe eti tukaambiwa imekuwa kero sasa na eti nimekuwa "clingy".................kaaazi kwelikweli
 
Wengine tulifanya kama wewe eti tukaambiwa imekuwa kero sasa na eti nimekuwa "clingy".................kaaazi kwelikweli

Siri ya mafanikio ni kwamba kama wapenda maongezi ya mara kwa mara...
umpate nae anaependa hivo hivo.... But mpenda maongezi Vs mchovu wa
maongezi (mawasiliano) lazima mkwazane mara kaw mara for hakuelewi kabisa...
 
Back
Top Bottom