Mawasiliano.....!

Hi, you have reached Nyani Ngabu. I am sorry I am not available to answer your call right now, but if you leave me your name, number, and a brief message I will get back to you as soon as possible. Thank you.
Hii ndio voice mail yako?
 
mie sipendi watu wanaonipigia simu na kushindwa kuacha voicemail ya kujitambulisha wakati wanajua kwamba siifahamu namba waliotumia au wao wenyewe siwajui.
 
Hi, you have reached Nyani Ngabu. I am sorry I am not available to answer your call right now, but if you leave me your name, number, and a brief message I will get back to you as soon as possible. Thank you.

Hi NN, its BJ on 14785984662..fancy a drink? Let me know when you have time, I will take you to somewhere new&fun..Cheers!
 
mie sipendi watu wanaonipigia simu na kushindwa kuacha voicemail ya kujitambulisha wakati wanajua kwamba siifahamu namba waliotumia au wao wenyewe siwajui.
Raha kujua mapema ni nani ili hata kama hujisikii kuongea unamkwepa!!Sio unampigia mdeni wako n mbwembwe kibao...lolz!
 
Lol inaboa sana.alafu unakuta mtu ana piga mara kwa mara mpaka unakuwa na wasi wasi kumbe wapi; kama sio mdeni wako kama ulivyosema basi mtu anataka kukupiga mzinga ana anajua kwamba ushamzoea yeye mtu wa mizinga na akitumia namba yake ya kawaida utaichunia lol.
 
Bahati mbaya yale mambo ambayo hatupendi watu watufanyie sisi wenyewe ndo wa kwanza kuwafanyia wenzetu sijui kwa upande wako!
 
Lol inaboa sana.alafu unakuta mtu ana piga mara kwa mara mpaka unakuwa na wasi wasi kumbe wapi; kama sio mdeni wako kama ulivyosema basi mtu anataka kukupiga mzinga ana anajua kwamba ushamzoea yeye mtu wa mizinga na akitumia namba yake ya kawaida utaichunia lol.

Hahaha...na wanajuaga kweli wakitumia yao utawatolea nje!Basi anakupa kiwewe cha kujua nani huyu mpaka unaingia mkenge!
 
Hizo zote tisa, KUMI kuna mdada mmoja ambaye atakuomba aangalie handset yako, then huna hili wala lile anatumia simu yako kujibeep, anaipata namba yako..kinachobaki ni usumbufu.."We nanihiino, UKO WAPI saa hizi...nina hamu na Castle-Light leo"...my hairs!!

Ha ha ha ha hiyo kitu siipendi kabisa halafu ukimuuliza wewe nani anakwambia hukumbuki tulikaa wote Rose Garden Weekend iliyopita (Utamjuaje wakati namba yake wewe huna bali yeye alichukua kiusanii)
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom