MAWASILIANO TOWERS YAzINDULIWA.....hongera serikali

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,971
3,827
Jengo katika barabara ya SAM NUJOMA (port access road) ambalo linamilikiwa na mamlaka ya mawasilano (TCRA) limezinduliwa na rais wa JMT...!
 
Wabongo kweli tumelaaniwa.....kweli tumefikia hatua ambayo hata umiliki wa jengo la Mawasiliano Towers tuna mashaka nao????

Mashaka muhimu mkuu! Jengo la mawasiliano, Ndege ya rais, Rada, Mitambo ya kufua nguvu za umeme. Kipi muhimu ? Au ni hilo jengo la mawasiliano tu! Kama hii ni laana wacha iwe mkuu!!!
 
Kikwete hana la kufanya zaidi ya kuzindua majengo.
Tulisikia Arusha alizindua hoteli ambayo baada ya masaa machache ikavunjwa, pia alienda kuzindua jengo la TANZANIA HOUSE OF TALENT.
Nchi inakabiliwa na mitihani mizito yeye kakaa kimya kazi yake ni kuulizia wapi kuna jengo jipya nikazindue.
Shauri yake mwisho atazindulishwa vyoo
Jengo katika barabara ya SAM NUJOMA (port access road) ambalo linamilikiwa na mamlaka ya mawasilano (TCRA) limezinduliwa na rais wa JMT...!
 
nilikuwa maeneo ya mlimani city kapita pale mida ya saa saba mchana akirudi na mbwe mbwe kibao - magari ya kifahari mengi ucpime katika nchi inafukarika kila kukicha na huku wananchi tunapiga miayo hata chai mida hiyo tulikuwa hatujanywa na umeme umekatika na maji ya dawasco ukame kwa kwenda mbele.

ndo hivyo watanzania - tufunge mikanda.
 
Back
Top Bottom