Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

Mawala Advocates
Rex Attorneys
Mkono Advocates
Malegesi

and so on, ni agents wa serikali (CCM) kuiibia nchi

Asanteni Saaana watanzania wenzangu....Nafurahi kwani inaonyesha hawa jamaa wanajitihada kubwa za kutafna nchi yetu,

Ndo watu wetu hao kila mtu anataka kula,

Mh....

Hao wanunue software gani ya mabilioni hao ni wajanja wa kucheza na viwanja vya watu mkiwachunguza mawalla wamejilimbikizia viwanja karibia nchi nzima na kuuzia wananchi kwa bei ya juuuu me sijaona Mawalla Advocate imetendea jamii kitu cha maana zaidi ya kupola viwanja tuuuu basi.

huku kwetu maswa wamejibebea maheka ya viwanja na huko msoma wao ndio walisababisha yule mtoto wa mkulima akafungwa wakati yuko darasa la saba kisa alienda kuchunga ng'ombe kwenya eneo la wawekezaji kwa jina Gurumet Reserve. sasa hawa ni mawakili kweli kama walishindwa mtetea yule mtoto wa bunda mpaka akawekwa magereza na serikali ikaingilia kati

Brella huko kuna kitu(Demu) wa Paul Nyaga Mawalla pale hata mfanyeje

unamtetea, acha kufanya watu wajinga

Wewe acha porojo ,so unataka kusema haya wanayosema kuhusu ushenzi huu uliofanywa na huyu bwana kujinufaisha binafsi ni sawa!? ..Unataka kutuambia tusiseme haya wanayofanya kujinufaisha kwa fedha za walipakodi kisa tutaonekana ni chuki binafsi!?.Unachoshabikia hapa wewe ni uswahiba wako na nyaga bila kujua ni adhari gani zitatokea kiuchumi/kijamii tukiwa tunafumbia macho uozo/ ushenzi kama huu.

[quote=bluetooth;1488811]mkuu.... Concern yangu kubwa hapa ni kwamba kuna conflict of interests.... Nyaga mawalla of mawalla group ana mahusiano ya kiuzazi na assistant registrar wa brela ...

Je, mawalla group wamepata hiyo tender kwa kufuata sheria na kama ndio... Je? Wata deliver bila kukiuka taratibu kutokana na mahusiano ya binafsi baina ya supplier na client

watu bado wanachajiwa elfu 20 kusearch jina la kampuni BRELA wakati hili ni jambo ambalo lingewezekana kuwekwa FREE of charge kwenye website na software iliyocost BILIONI 2

Jameni hawa magamba watatukamua hadi lini? Kila mahali ni uozo! BRELA hawa si ndo walewale waliofoji hati za Richmond na kina kagoda? Enough is enough! Cammon Tzns!

Nyalandu kumbe ana connection na hawa jamaa?

tumekwisha!

Mawala Nyaga ni mtu wa kupenda kujitanua na kujitunisha saaana, namfahamu nilikuwa naye wakat i tuf=kifanye LLB pale UDSM (1995-1998) ana akili lakini pia ni lobist mbaya mno, mwenye kupenda totoes saana, ni mwizi -usishangae -nalazimika kukubali kuwa anaweza kutenda lolote kwa maslahi yake dhidi ya umma pale anapopata mwanya kupitia maofisa wa serikali wenye maslahi binafsi.

Mnamsema Nyaga ni smart in whay way ? Mbona sijaona kama kajibu hoja yeye kakataa tu lakini hoja imebana mezani ni vipi hapa ?Mwambieni ajibu hoja aliuza kwa 1bn ? If yes ndiyo gharama zake za ukweli ? Then tuanzie hapo .

kumbe Mary Nagu alipewa mgao wa hii software mbovu?

Mawalla Advocates wameacha shughuli za kuuza utapeli wa KUAMINIKA na sasa wanauza Software? Nini tatizo. Mikataba ya mashamba na viwanja imekwisha?

Usiogope kupiga T-shirt na jeans kama suti zimekosa pahala pake

Ukisoma comments hizi hapa juu utaona kuwa ujamaa umetuathiri watanzania na mtu akiendelea kiuchumi tunakuwa TOO suspicious na maendeleo yake kwa sababu fundamentally hatuamini kuwa inawezekana kuendelea kihalali.
Hii hali inafanya watu badala ya kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa, wanajiweka mbali na kuogopa maendeleo...

R.I.P Advocate Mawalla...
 
Sasa kupiga Dili Brella ndiyo kuendelea kihalali ? Ukisema R.I.P utakuwa unalazimisha bali unapaswa kusema , awekwe mahali anapostahili kutokana na aliyoyatenda hapa duniani .
 
Nilikuwa na presentation kuhusu bidhaa fulani nilikuwa nataka kuiuza serikalini na mashirika. Kwenye presentation bei ya bidhaa ilikuwa imeonyeshwa. Jamaa mmoja alinishauri niondoe bei maana wakubwa watakuja na bei yao kubwa zaidi.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

Inatatiza kuona nawe umejiunga JF na kudiriki kumjibia mtu,inatisha kuona kama kweli ni great thinker.Maake watu wanalalamikia ufisadi wa bei .Kimsingi unatakiwa umtetee kwa vielelezo kama bid contract ilitakiwa kuwa na kiasi fulani cha fedha unaleta kwenye uzi hicho kielelezo.Pia walishida kwa bei hii uanleta kielelezo na uhalisia ni juu unaleta kielelzo.hapo watanzania na wanaJF watakuona ni msomi unazungumza hoja zenye utetezi na si mawazo ya kiabunwasi eti mlisoma wote ilboru na ati umewajoji wa watu .majibu hayo yanahitosheleza kujibu?axha vlabla watanzania wasaa ni waelewa jibu hoja au tetea hoja kwa ushahidi , huna kaa kimya
 
Kama unamjua ni vizuri sana na inaelekea unamjua toka shule pia ujue kwamba unavyomjua mtu kwa nje ni tofauti kabisa na alivyo na anachofikiri, Kimsingi mimi simkubali huyu jamaa kwa haya yafuatayo:

Kutumiwa na Singita Grumeti Reserve: Jamaa huyu amekuwa akitumiwa na Singita Grumeti Reserve ili achukue maeneo kule Serengeti ili wao waweze kuongeza Camps zao na pia kufanya watu wengine wasianzishe Camps kule. Ameleta mzozo mkubwa sana kule kwenye vijiji vya Motukeri na nata kwa kuwahonga wenyeviti wa vijiji na madiwani pesa ambazo wao wanaona ni nyingi ili wampe shamba kubwa kama hekari 1000 ili afugie mifugo yake akiwa na kampuni yake ya kisanii yenye jina mbele then inaishia na Holdings. Hii imesababisha watu kuvurugana na kugombana kutokana na Ngawira anazopewa na Grumeti kuwahadaa wanakijiji kujiongezea maeneo

Gomba Estate na Burka. Kwa nini jamaa huyu anaonekana kwenye mikataba ya mashamba makubwa kama haya akiwa kama consultants? Nachokijua ni kwamba mashamba haya yakiisha muda wake huwa mali ya serikali na muwekezaji huyarudisha kwa Serikali. Yeye anakuwa nani hapo katikati in between Serikali na muwekezaji? na mbona baada ya ugawaji yeye hubaki na plot nyingi sana ambazo huwagawia rafiki zake including pilosi ambao humsaidia kwenye mambo yake?

Mawala Private Road:Huyu jamaa ana barabara yake ambayo kila anayepita hulipia except watu wanaokaaa jirani. makampuni kama Sokwe, Thomson, African environments hutozwa zaidi ya $1000 kwa mwaka kwa ajili ya kutumia barabara hiyo. Na kuna ushahidi mkubwa sana kuwa eneo hilo lote wamegawana na nywele nyeupe utadhani wao tu ndo wanastahili kupata hayo maeneno

In short huyu jamaa ni mbinafsi na pia anatuona sisi Watanzania ni wajinga sana kiasi cha kutumiwa kama Carl Peters kutufanyia mikataba ya kilaghai
Nimekuwa singita grumeti kwa kipindi kirefu ngoja nitafute details za kutosha then nitarud
 
Ukisoma comments hizi hapa juu utaona kuwa ujamaa umetuathiri watanzania na mtu akiendelea kiuchumi tunakuwa TOO suspicious na maendeleo yake kwa sababu fundamentally hatuamini kuwa inawezekana kuendelea kihalali.
Hii hali inafanya watu badala ya kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa, wanajiweka mbali na kuogopa maendeleo...

R.I.P Advocate Mawalla...
wewe unafaidika na mfumo uliopo, umesomeshwa nje kwa mfumo huu, huwezi kuona

issue siyo pesa, issue ni namna ya kuzipata

the funniest part of your hypocrisy ni kuonekana kuto-value ujamaa wakati kilichokufaidisha hadi kufika hapo ni ujamaa... juzi ulikua unakandya madoktaz kugoma and guess what all your arguments zilibase kwenye huohuo ujamaa kwani ubepari unasimamia misingi tofauti kabisa ni upuumbavu uliokua unahoji... i think it is time to teach you something you man, you seem not to understand insensitivity to some stuff is as bad as killing...

pumbavu wahed
 
Hapo unamaanisha kuniteka au kuning'oa kucha?

Kama ndio hivyo basi naomba msamaha kwa kosa la kusema maoni yangu. Sitasema tena maoni yangu, nitayameza na glass ya juice...
 
Hapo unamaanisha kuniteka au kuning'oa kucha?

Kama ndio hivyo basi naomba msamaha kwa kosa la kusema maoni yangu. Sitasema tena maoni yangu, nitayameza na glass ya juice...

am far better than your silly ass young man... sina muda huo wa kipumbavu na kisiasa, coz i am no politician

Tutaonana tu dogo... naona umeanza kujisahau sana... kumbuka tu kusimamia usawa, haki na ubinadamu katika maisha yako, tuendako si salama kama unavyojiaminisha
schedulecleanup.jpg
 
View attachment 87934

Hakuna coward anayejiabisha kama yule anayepiga mtu mkwara kwa kutumia ID ya kujificha. Kama unajua zemarcopolo ni nani na unajiamini unaweza kumpiga mkwara, nenda kwenye private message jitambulishe wewe ni nani halafu mpige mkwara zemarcopolo ili zemarcopolo naye apate fursa ya kuhit back halafu uone who will fall down kati yako na zemarcopolo. Hii unayofanya ni sawa na kumnyemelea mtu umrushie jiwe halafu ujitambe kwamba wewe ni babkumbwa.

Kama unaona maoni ya zemarcopolo yanakukera sana mpaka umeona bora kutangaza vita na zemarcopolo basi kuwa na ujasiri to introduce yourself tuingie ulingoni.

Pumbaaaaaavu...
 
Back
Top Bottom