Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

watu bado wanachajiwa elfu 20 kusearch jina la kampuni BRELA wakati hili ni jambo ambalo lingewezekana kuwekwa FREE of charge kwenye website na software iliyocost BILIONI 2
 
Jameni hawa magamba watatukamua hadi lini? Kila mahali ni uozo! BRELA hawa si ndo walewale waliofoji hati za Richmond na kina kagoda? Enough is enough! Cammon Tzns!
 
Jameni hawa magamba watatukamua hadi lini? Kila mahali ni uozo! BRELA hawa si ndo walewale waliofoji hati za Richmond na kina kagoda? Enough is enough! Cammon Tzns!

Kwa nini uongozi wa Jamii media usiiandike Mawalla advocates na BRELA wakatoa maelezo kuhusu hizi tuhuma?
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

Mhhhh....OK

Mirija haipaswi kukaushwa....
 
Mawala Nyaga ni mtu wa kupenda kujitanua na kujitunisha saaana, namfahamu nilikuwa naye wakat i tuf=kifanye LLB pale UDSM (1995-1998) ana akili lakini pia ni lobist mbaya mno, mwenye kupenda totoes saana, ni mwizi -usishangae -nalazimika kukubali kuwa anaweza kutenda lolote kwa maslahi yake dhidi ya umma pale anapopata mwanya kupitia maofisa wa serikali wenye maslahi binafsi.
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.
Unakumbuka viwanja vya Burka kaka,na je kampuni ya uwakili nayo inafanya biashara ya software au walikuwa wanasheria wa kampuni iliyoiuzia software Brela.Pia uaminifu wa sekondari inakowa tofauti na mtu akiwa anajitegemea watu hubadilika kutokana na nyakati kwa hiyo mambo ya kusema unamfahamu mtu fulani tokea mko shule haina mshiko,sorry ni maoni tu
 
Sasa kwa kuonyesha kuwa ile thread ilikuwa muhimu na imewagusa watu MAWALLA ADVOCATES wameitisha press conference na kukanusha kuwa hawaijauzia BRELA fake software.

Cha ajabu ni kuwa kule BRELA kwenyewe hawajataka kujibu hizi tuhuma za ubadhirifu wa pesa za umma infact wamekaa kimya as if hii issue sio muhimu kwao.

Sasa mnasema ngoma ilale au?

Ilale tu bana
 
Kwani Nyaga keshaachana na Rehema Kitambi wa BRELA? Make jamaa huwa ni strategic sana. Alimchomeka Rehema BRELA ili issue zake zipete. Labda ndie pia alimuunganishia hiyo dili ya software. Yetu macho.



Nadhani alimchapa Mimba .Wale akina rehema ni wapuuzi sana pale Brela kama hujawapa kitu unaweza kutumia miaka 5 kusajili kampuni kihalali.Kuna yule Mhaya nani sijui aliniomna 1000$ ili kusajili nikashangaa nikamuuliza unaniomba hata mie Lunyungu ina maana hunijui ? Akasema kama huwezi basi basi ilikuwa muda wa msaa 2 alisaini yeye tena kwa kufuata taratibu zoooooooooooooooooote .Kummbe Kitambi ndiyo zake hi ?
 
Mnamsema Nyaga ni smart in whay way ? Mbona sijaona kama kajibu hoja yeye kakataa tu lakini hoja imebana mezani ni vipi hapa ?Mwambieni ajibu hoja aliuza kwa 1bn ? If yes ndiyo gharama zake za ukweli ? Then tuanzie hapo .
 
Kwa wale tunaomjua Mawalla; subirini siku si nyingi mtakuwa shocked na ufisadi wake wa hali ya juu; by then nadhani atakuwa South Africa akwenye ofisi yake wakati sisi tukiwa Tahrir Square. Just wait and see. Mtu anaemtetea amuogope Mungu

is no more jamani
 
Tanzania ni nchi yenye amani na ustaarabu wa kula pesa za wanyonge

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mawalla Advocates wameacha shughuli za kuuza utapeli wa KUAMINIKA na sasa wanauza Software? Nini tatizo. Mikataba ya mashamba na viwanja imekwisha?

Usiogope kupiga T-shirt na jeans kama suti zimekosa pahala pake
 
Back
Top Bottom